Sasa tatizo liko wapi hapo, elewa hii ni biashara, yaani unyang'au mwanzo mwisho, kama itabidi ipitie Tanzania basi itapita tu, tutawatongoza Wabongo hadi waachie. Mwisho wa siku maslahi ndio tunafuata, Wabongo muamke huu usingizi wa undugu na udada.
Reli tunaweka ya kufikisha bidhaa Kigali kwa masaa 24, hapo Rwanda na wao wanaweza tumia hiyo fursa kusogesha zaidi.
..hapana.
..reli yenu sgr inaishia Nairobi.
..reli ya kwenda rwanda, na burundi, itapitia Tanzania.