Uganda pekee yake ndiye amepunguza vikwazo, Tanzania na Kenya wamenuna kwa kwenda mbele

Uganda pekee yake ndiye amepunguza vikwazo, Tanzania na Kenya wamenuna kwa kwenda mbele

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tanzania inaongoza kwa kuweka vikwazo vya kibiashara dhidi ya majarani ndani ya muungano, ikifuatiwa na Kenya. Haya mataifa yamenuniana na kubanana sijui mwisho wake utakua vipi. Uganda pekee yake ndio imeboresha sheria zake na kuweka uelewano wa kibiashara na mahusiano mema.

Haka kamuungano huwa sielewi kana umuhimu gani, maana huwa kanapondwa kushoto kulia, juu chini, kila anayeamka vibaya anawaza jinsi ya kukaponda. Ukiuliza marais wetu wanaimba tujenge viwanda na kuboresha ukulima maana EAC ni soko kubwa lenye watu milioni 150, kwamba ukiwa na bidhaa zako utawafikia hao watu bila vikwazo, lakini kimya kimya hao hao marais wanatuma makada wao wakaharibu mahusiano ya kibiashara na kununiana.

--------------------------------------------------------------------

Tanzania more than tripled the number of non-tariff barriers (NTBs) it imposed on its regional partners last year, according to the East African Community Common Market Scorecard 2016.

Kenya more than doubled the number of barriers, and Uganda recorded the highest compliance rate.

According to the scorecard, Tanzania’s NTBs rose from seven to 24 and Kenya’s increased from 10 to 23, putting into doubt the two countries’ commitment to easing intra-EAC trade.

In Uganda, at least 18 of the 20 capital transactions were restriction-free.

The scorecard, which analyses the movement of capital, services and goods, shows that the EAC member states are enacting laws and enforcing regulations that go against the spirit of the Common Market Protocol.

In the past year, member countries have either passed new laws, amended regulations or are in the process of doing both, which will have a negative impact on some of the provisions of the EAC Common Market Protocol.

READ: EAC states keen on boosting region as single investment area

Trade relations

At a meeting in Dar es Salaam earlier this month, Kenyan and Tanzania businessmen under the Tanzania Private Sector Federation (TPSF) and the Kenya Private Sector Alliance (Kepsa) deliberated on trade relations between the two countries, highlighting some of the barriers that are against the spirit of integration.

“The local content shareholding requirements by countries within the region restricts investment from other EAC countries because they are treated as foreigners. It is inconsistent with the provisions of the Common Market Protocol,” TPSF chief executive officer Godfrey Simbeye said.

On the movement of capital, Tanzania is said to be proposing media laws that are inconsistent with the Protocol.

The country’s Media Services Act, 2016, which is awaiting a ministerial commencement date, and the Media Services Regulations, 2017 are said to require foreigners to show 51 per cent local shareholding for issuance of print media licences.

The Media Services Act, 2016 defines a “foreigner” as a person who is not a citizen of Tanzania.

Uganda’s Insurance Bill, 2016 requires funds reflected in companies’ balance sheet to be invested in the country with the approval of the Bank of Uganda.

Rwanda also introduced a pension regulation last September that prohibits the country’s schemes from investing more than 15 per cent of their total value of assets outside the country.

On the movement of services, at least five Tanzanian laws with measures inconsistent with the Protocol were enacted last year and early this year. Kenya, through its high court, passed two Common Market rulings that favoured Tanzania.

READ: Proposed TFTA to raise intra-regional trade by 30pc

Mandatory local partnerships

Tanzania has already enacted the Fisheries Institute Bill, 2016 and the Agricultural Institute Bill, 2016, which require mandatory local partnerships. The Medical, Dental and Allied Health Professionals Bill, 2016 is still in parliament.

It proposes additional clearance by the Medical Council and a limited practice licence for non-residents. The country also enforced the Immigration (Amendment) Regulations, 2016, which requires EAC nationals to buy $250 passes to engage in business, their profession or assignments.

Kenya restricts professionals in the law and engineering sectors from practicing within its territory. For instance, the Advocates Act, Cap 16, Section 11 (Amended 2012) restricts advocates from other EAC partner states from Kenyan courts unless accompanied by a Kenyan advocate.

Registration of foreign national (non-Kenyan) engineers is only allowed if at least 51 per cent of the shares in the firm are held by Kenyan citizens.

“On facilitating professionals, I recommend that the EAC harmonise the definition of local content to help address entry by professionals and address restrictions on entry,” said Kepsa governor George Owuor.

Kenya’s principal secretary for trade Chris Kiptoo said that they are creating regional laws that elimination non-tariff barriers.

“We have had several documents on trade, movement of goods, services and capital, but in a disjointed manner. We are harmonising these issues so that policies complement rather than compete with each other,” Dr Kiptoo said.

Uganda has proposed changing its Investment Code Bill, 2017, which is currently under consideration by Cabinet. The code is proposing an amendment to include EAC residents and citizens as domestic investors.

The code currently defines a “foreign investor” as a person who is not a citizen of Uganda, or a company in which more than 50 per cent of the shares are held by a non-Ugandan citizen.

Uganda’s permanent secretary in the Ministry of EAC Affairs, Edith Mwanje, said that they plan to place the region under one banner to foster integration.

“We need national policies to emphasise local content and harmonise regional policy,” Ms Mwanje said.

Kenya, Tanzania increase barriers to trade
 
Watanzania ni waoga sana. Eti mnaogopa tutanyakua mashamba yenu au ajira yenu. Hahaha endeleeni kuogopa majirani.
Sio kuogopa bali that's realistic hatuwezi kuruhusu ardhi iwe accessible to the member states freely, hicho kitu hakipo wala hakitakaa kitokee na muungano ukafilie mbali kabisa.

Wakenya kuruhusu huu ujuha kwenu is not an issue sababu hamna chochote nchini mwenu vyote ambavyo vipo limited tayari vipo monopolized by few people,

Sasa Tanzania haiwezi kuachia ardhi yake kifalafala kisa something called EAC kwenye ardhi yetu ndimo kuna madini, gas, oil, water bodies and fertile lazima viwe chini ya mamlaka.
 
Sawa umejibu vizuri kwa shamba. Je tukija kwa mambo ya ajira mbona kiwewe? Kumbuka Watanzania pia wataruhusiwa kuja Kenya kufanya kazi bila vikwazo kama permit n.k
 
MK254

Haka kamuungano ni ka nchi nyingi! Kama tz na kenya wanawekeana vikazo, acha wengine wafanye biashara na mambo mengine!

FYI, vikwazo kama hivi tz haijaviweka kwa nchi yoyoye ya SADC, maana yake ni kuwa Kenya ndo mkorofi!
 
Kule SADC hamuwezi kutunisha misuli maana hamuendani kwa chochote zaidi ya tu kwamba mlijipeleka kuhangaika kwenye vita vyao vya uhuru, uliona hata Msumbiji waliwapa kibano juzi na kuwaondolea nje, hata lugha na tamaduni kule nyie hamna chochote. Likija suala la uwekezaji, Wakenya wamewekeza SA zaidi yenu.

Sisi hapa EAC ndio huwa tunajua kuwalea na 'massaging your ego', inabidi tuwabebe tu maana ndugu yako hata akiwa zezeta fulani pale kijijini inabidi kuendana naye maana ndiye wako wa damu. Makabila yote mpakani mwa Kenya na Tanzania wana undugu pande zote mbili, na ndio mpaka mrefu zaidi ya yote hivyo hatuna jinsi.
 
Hahaha umeongea kama mbumbumbu kabisa, kwa taarifa yako Tanzania ni kati ya nchi tatu bora zenye influence kubwa na beneficiary mkubwa kwenye coalition ya sadc, kwanza hata najisumbua kupoteza muda wangu kuongea na mtu ambaye sadc ni kitendawili kwake.

Saivi Tanga kuna major sadc military operations zinafanyika airforce, land and Navy operations, plotting about establishing United base in Tanga, sijui kama una tambua hilo?

Baada ya Tanzania kutoa uenyekiti wa SADC few weeks ago saivi Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama kwa nchi za SADC,
1.jpg

Nelson Mandela University iliyopo Arusha, modern and contemporary university so far in East and Central Africa ni product ya sadc hiyo.

Tanzania inajivunia kuwa miongoni mwa nchi waanzilishi wa SADC ambapo katika kipindi cha miaka 10 mauzo ya bidhaa za nchi katika nchi za SADC yameongezeka kutoka dola za kimarekani milioni 301 katika mwaka 2007 hadi dola za kimarekani bilioni 1.017 mwaka 2016

Tanzania ni mnufaikaji mkubwa na mamia ya ajira kutoka sadc
DAkSx6BXsAAfIVz.jpg

Kwa kifupi Tanzania ina maslahi mapana SADC mara mia ukilinganisha na EAC.
 
Huyo mwanamama ndio like official in charge of having the responsibility of day-to-day activity of the body Tanzania is chief executive secretary SADC
 
sisi ndio kichwa ngumu...hehe...anyway, tutawa nyoosha tu...EA hub ikikohoa inabidi wengine watafte dawa mapema...
 
Sawa umejibu vizuri kwa shamba. Je tukija kwa mambo ya ajira mbona kiwewe? Kumbuka Watanzania pia wataruhusiwa kuja Kenya kufanya kazi bila vikwazo kama permit n.k
.....hizo kazi mnazo !?
 
Ukiuliza marais wetu wanaimba tujenge viwanda na kuboresha ukulima maana EAC ni soko kubwa lenye watu milioni 150,

hongera kwa kiswahili kizuri sana. ila hapo kwenye ukulima, ungesema kilimo. samahani lakini.
 
Kule SADC hamuwezi kutunisha misuli maana hamuendani kwa chochote zaidi ya tu kwamba mlijipeleka kuhangaika kwenye vita vyao vya uhuru, uliona hata Msumbiji waliwapa kibano juzi na kuwaondolea nje, hata lugha na tamaduni kule nyie hamna chochote. Likija suala la uwekezaji, Wakenya wamewekeza SA zaidi yenu.

Sisi hapa EAC ndio huwa tunajua kuwalea na 'massaging your ego', inabidi tuwabebe tu maana ndugu yako hata akiwa zezeta fulani pale kijijini inabidi kuendana naye maana ndiye wako wa damu. Makabila yote mpakani mwa Kenya na Tanzania wana undugu pande zote mbili, na ndio mpaka mrefu zaidi ya yote hivyo hatuna jinsi.

Umeshapewa majibu mzuri sana na redeemer ila ngoja nikuongeze haya!

Kwanza elewa kuwa kilichotokea msumbiji ni kutokana na SADC kutokuwa na sheria ya pamoja khs movement of people within the bloc. Ndo maana msumbiji wanadai wao walikuwa wanaondoa watu ambao hawana vibali vya kuishi/kufanya kazi!

Kuhusu utamaduni tuko vizuri sana, kabila la wangoni lililopo hapa Tanzania pia lipo SA, wimbo wa taifa wa tz, SA na zimbabwe zinafanana! Tamaduni gani zaidi unataka zifanane?

Kwenye miradi ya pamoja, tz na Zambia tunachangia bomba la mafuta na reli! Rovos train ambayo ni train ya kifahari kabisa hapa duniani hufanya safari zake mara kwa mara kutoka SA kuja tz ikiwa na watalii shaz! Bakhresa na MO wamewekeza sana kwenye nchi za SADC!

Halafu unasema nyie ndo mnatulea? Ha ha haaaaa! Hivi nani analalamika zaidi kutokana na bidhaa zake kuzuiliwa kwenda nchi nyingine? Jibu unalo, na mtaendelea kulia! Vipi yale mahindi ya zambia yalifika? Na yataisha lini mkanunue mkanunue mengine Israel?

Kifupi tu manufaa ambayo tz inayapata kwenye SADC ni makubwa kuliko haya ya EA!
 
sisi ndio kichwa ngumu...hehe...anyway, tutawa nyoosha tu...EA hub ikikohoa inabidi wengine watafte dawa mapema...
Kwa hili la tz ke dispute nyie ndo wahanga! Kubali usikubali, hapa lazima mmeze makohozi yenu.
 
Eac ivunjiliwe mbali....sijaona umuhimu wake.wengine wanalia mashamba yataibiwa sijui kama mashamba ya waganda yameibiwa au vipi
 
Sawa umejibu vizuri kwa shamba. Je tukija kwa mambo ya ajira mbona kiwewe? Kumbuka Watanzania pia wataruhusiwa kuja Kenya kufanya kazi bila vikwazo kama permit n.k
Kwenye ajira njoo ila uwe na kibali cha kufanya kazi $2,500.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kwa hili la tz ke dispute nyie ndo wahanga! Kubali usikubali, hapa lazima mmeze makohozi yenu.
Hujui border zikifungwa nyinyi ndio mtaathirika zaidi kwa sababu mnaexport bidhaa nyingi Kenya kuliko tunavyoexport kwenu
 
Hahaha umeongea kama mbumbumbu kabisa, kwa taarifa yako Tanzania ni kati ya nchi tatu bora zenye influence kubwa na beneficiary mkubwa kwenye coalition ya sadc, kwanza hata najisumbua kupoteza muda wangu kuongea na mtu ambaye sadc ni kitendawili kwake.

Saivi Tanga kuna major sadc military operations zinafanyika airforce, land and Navy operations, plotting about establishing United base in Tanga, sijui kama una tambua hilo?

Baada ya Tanzania kutoa uenyekiti wa SADC few weeks ago saivi Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama kwa nchi za SADC,
1.jpg

Nelson Mandela University iliyopo Arusha, modern and contemporary university so far in East and Central Africa ni product ya sadc hiyo.

Tanzania inajivunia kuwa miongoni mwa nchi waanzilishi wa SADC ambapo katika kipindi cha miaka 10 mauzo ya bidhaa za nchi katika nchi za SADC yameongezeka kutoka dola za kimarekani milioni 301 katika mwaka 2007 hadi dola za kimarekani bilioni 1.017 mwaka 2016

Tanzania ni mnufaikaji mkubwa na mamia ya ajira kutoka sadc
DAkSx6BXsAAfIVz.jpg

Kwa kifupi Tanzania ina maslahi mapana SADC mara mia ukilinganisha na EAC.
Hilo ni neno lililo shiba, nadhani huyo MK254 atakuwa amekupata. Maana hawajuwi tunafanya biashara kiasi gani na SADC. SADC ina watu mara 2 ya EAC zaidi ya millioni 330. SADC ina nchi nyingi kuliko EAC, viwango vya bidhaa za SADC ziko juu sana kulinganisha na bidhaa za EAC. Na wala hujawahi kusikia wakihoji ubora wa bidhaa zetu kama vile Kenya anavyotufanyia. Katibu mkuu wa SADC hivi sasa ni mama Mtanzania.

MK254, Wafanyabiasha wa Kenya wamekimbilia kufungua biashara zao Tanzania kuchangamikia soko la SADC.
 
Back
Top Bottom