Uganda pekee yake ndiye amepunguza vikwazo, Tanzania na Kenya wamenuna kwa kwenda mbele

Uganda pekee yake ndiye amepunguza vikwazo, Tanzania na Kenya wamenuna kwa kwenda mbele

Eac ivunjiliwe mbali....sijaona umuhimu wake.wengine wanalia mashamba yataibiwa sijui kama mashamba ya waganda yameibiwa au vipi
Mbona kwenye SADC hizo habar za mashamba hazipo? Na kwa nini haisemwi nchi yingine kuwa itaiba hayo mashamba zaidi ya kenya?


Ni dhahili kwa hili wakenya mna mpango wa kuiba ardhi!
 
Hujui border zikifungwa nyinyi ndio mtaathirika zaidi kwa sababu mnaexport bidhaa nyingi Kenya kuliko tunavyoexport kwenu
Kumbee! hv kwa sasa nani kapata hasara zaidi? Au tulete ushahidi
 
Unahabar mtz akigonga pasport anaruhusiwa kukaa miez 3 Free Mozambique. Je unahabar kile kichapo cha juz kuna mtu alihongwa pesa atekeleza. Je wajua baada ya kile kichapo askar hasa wakuu wa pemba walikula redundancy ? Je unahabar kile kichapo kilihusuhusu wageni wote mkiwemo na wakenya ? Je wajua siku kadhaa baada ya lile tukio waliaanza kubembeleleza watz warud maaana huduma za msingi zinatolewa na wageni. Usichokijua ni kuwa kuna uwekezaji mkubwa sana unafanywa kwa nchi zappé sadc na watz kuliko hata huko eac
 
Ardhi yetu hamtaipata kamwe
Nyie fanyeni mambo yenu huko huko
 
kwenye maelezo hujazungumzia Rwanda na Sudan kusini na Burundi ila umegusa Kenye,Uganda na Tanzania labda kwa kuwa ndo waanzilishi km ndivyo ujue vidonda havijakwisha.
SADCC haijawai kutufanyia kibaya cha kitaifa km kenya,
SAdcc wanatueshimu na kututhamini km nchi na mwanachama mwenzao,hawajawai kuweka kundi ndani ya kundi au chama ndani ya chama.
Sadcc hawajawai kutushinikiza kwa kuangalia .wananufaika nini
SAdcc hawajawai kutuibia mali tulizochuma wote.
nitajie viwanda vilivyobinafswa kwa Sadcc members na wakaviua ili tununue product toka kwao?


mjomba kuku anaetamia hachinjwi.....................
 
Mkenya si mtu mwema ktk maswala ya kiuchumi anataka yeye atawale na asitokee mpinzani na ndio maana mnaaza ota joto ya jiwe
 
WaKenya kabla ya kuweka unafiki wenu hapa hebu kaonyesheni "East African spirit" South Sudan, maana jana nimesikia jamaa wameishiwa kabisa..
 
WaKenya kabla ya kuweka unafiki wenu hapa hebu kaonyesheni "East African spirit" South Sudan, maana jana nimesikia jamaa wameishiwa kabisa..
Mkenya hamna kitu anaweza kukusaidia.
Ardhi wameibinafsisha kwa watu wachache tena kisheria sasa wanalalama kutaka kuhamia nchi jirani tena kwa nguvu.

Kuna mkenya mmoja amechukua land pale Arusha akajenga nyumba ya kuishi, jamaa yuko very rude yaani haamini kama kweli ni yeye anamiliki hiyo land
 
I wonder why it has always been Kenya or Tanzania?Kwani izo nchi nyingine za EAC hawapendi nchi zao?Tatizo ni Kenya kujiona kaka wa Tanzania na Tanzania nayo kujiona kaka yake Kenya.Kila mtu anataka ukubwa na ubabe.Tuache izo,sisi sote ni ndugu na tukiamua kushirikiana we can achieve a lot.
 
Mkenya hamna kitu anaweza kukusaidia.
Ardhi wameibinafsisha kwa watu wachache tena kisheria sasa wanalalama kutaka kuhamia nchi jirani tena kwa nguvu.

Kuna mkenya mmoja amechukua land pale Arusha akajenga nyumba ya kuishi, jamaa yuko very rude yaani haamini kama kweli ni yeye anamiliki hiyo land
Siku Magu akiamka nao... Watabeba mabegi yao
 
  • Thanks
Reactions: 999
Kule SADC hamuwezi kutunisha misuli maana hamuendani kwa chochote zaidi ya tu kwamba mlijipeleka kuhangaika kwenye vita vyao vya uhuru, uliona hata Msumbiji waliwapa kibano juzi na kuwaondolea nje, hata lugha na tamaduni kule nyie hamna chochote. Likija suala la uwekezaji, Wakenya wamewekeza SA zaidi yenu.

Sisi hapa EAC ndio huwa tunajua kuwalea na 'massaging your ego', inabidi tuwabebe tu maana ndugu yako hata akiwa zezeta fulani pale kijijini inabidi kuendana naye maana ndiye wako wa damu. Makabila yote mpakani mwa Kenya na Tanzania wana undugu pande zote mbili, na ndio mpaka mrefu zaidi ya yote hivyo hatuna jinsi.
unamaneno ya shombo sana sijui tan zania ilikukosea nini
 
Back
Top Bottom