Mbona kwenye SADC hizo habar za mashamba hazipo? Na kwa nini haisemwi nchi yingine kuwa itaiba hayo mashamba zaidi ya kenya?Eac ivunjiliwe mbali....sijaona umuhimu wake.wengine wanalia mashamba yataibiwa sijui kama mashamba ya waganda yameibiwa au vipi
Kumbee! hv kwa sasa nani kapata hasara zaidi? Au tulete ushahidiHujui border zikifungwa nyinyi ndio mtaathirika zaidi kwa sababu mnaexport bidhaa nyingi Kenya kuliko tunavyoexport kwenu
Mkenya hamna kitu anaweza kukusaidia.WaKenya kabla ya kuweka unafiki wenu hapa hebu kaonyesheni "East African spirit" South Sudan, maana jana nimesikia jamaa wameishiwa kabisa..
Siku Magu akiamka nao... Watabeba mabegi yaoMkenya hamna kitu anaweza kukusaidia.
Ardhi wameibinafsisha kwa watu wachache tena kisheria sasa wanalalama kutaka kuhamia nchi jirani tena kwa nguvu.
Kuna mkenya mmoja amechukua land pale Arusha akajenga nyumba ya kuishi, jamaa yuko very rude yaani haamini kama kweli ni yeye anamiliki hiyo land
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Siku Magu akiamka nao... Watabeba mabegi yao
unamaneno ya shombo sana sijui tan zania ilikukosea niniKule SADC hamuwezi kutunisha misuli maana hamuendani kwa chochote zaidi ya tu kwamba mlijipeleka kuhangaika kwenye vita vyao vya uhuru, uliona hata Msumbiji waliwapa kibano juzi na kuwaondolea nje, hata lugha na tamaduni kule nyie hamna chochote. Likija suala la uwekezaji, Wakenya wamewekeza SA zaidi yenu.
Sisi hapa EAC ndio huwa tunajua kuwalea na 'massaging your ego', inabidi tuwabebe tu maana ndugu yako hata akiwa zezeta fulani pale kijijini inabidi kuendana naye maana ndiye wako wa damu. Makabila yote mpakani mwa Kenya na Tanzania wana undugu pande zote mbili, na ndio mpaka mrefu zaidi ya yote hivyo hatuna jinsi.