Uganda President Yoweri Museveni has sensationally claimed that there is a plot to detain President

Uganda President Yoweri Museveni has sensationally claimed that there is a plot to detain President

Uganda President Yoweri Museveni has sensationally claimed that there is a plot to detain President Uhuru Kenyatta at The Hague when his trial begins on July 9

http://www.nation.co.ke/News/Museve...n-Uhuru/-/1056/1863014/-/g5w5rhz/-/index.html
Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika. Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.
 
Waafrika bana, tunapenda kuremebesha vimisemo ambavyo havina hata maana, eti wakimkamata patachimbika, wapi hapo patakapochimbika na nani apachimbe? Kama wakipachimba Kenya Wazungu wao itawahusu nini? Au mtakwenda na Vifaru kuvamia Ulaya kumtoa? Acha kujidanganya wakiamua kumkamata watamkamata hakuna kitu mtafanya, sana sana mtaanza fujo za kuuana wenyewe kwa wenyewe huku wenzenu wanakunywa Mvinyo na kutuma Ndege kuja kuwadondoshea Chakula cha msaada!
 
Hahahaha..watu wanacomment hata bila kusoma habari..mseveni anachofanya ni kumtetea mwalifu mwenzake uhuru..eti patachimbika wapi ma kwa nani? Mtaenda kuivamia icc au? Watu wengine wana akili za ajabu sana..niliwai kusema uhuruto soon watakuwa jail birds au fugitives hawa wakina mseveni wanajaribu kuwaaribia tu...mbona yaye asimalizane na kony humo humo Ug?
 
Tuliza ball mkuu! Huoni kama Kenya inatakiwa kupata chance kuleta utulivu na utengamano baada ya watu wake kujiwekea katiba inayokidhi mahitaji yao kwa hali ya juu? Ulaya wana interest kubwa kenya unadhani wanaweza kuleta instability kwa kumkamata UK? Kwa nini mu7 anawatishia nyau, na kwa faida ya nani!
 
Sidhani kama watamkamata. Mbona pingimizi zilitolewa kuwa kimaadili asigombee wao ICC wakaruhusu. Acha kesi iendelee na atashinda. Maana hata mashahidi sasa wanaogopa kutoa ushahidi na wengine walishakiri walihongwa ili waseme uongo. Usicheze na hela na madaraka bwana.
 
wengi hamjui kesi za ICC zaanza kuanguka polepole kwa kupata ugumu barani kutoka AU na umoja wa mataifa na IGAD. waafrika tumehadaiwa miaka nyingi kwamba korti hii ni ya kimataifa na viongozi afrika wamegundua udanganyifu huu. ICC imeanza kukosa heshima barani kutoka viongozi wa barani na hizi kesi sioni zikistahimili.

George Bush aliyekuwa rais wa marekani aliweka mswada wa hague invasion act na ikawa sheria inayotambulika kuwa Ina madaraka ya kuvamia iwapo mmarekani atazuiwa ICC. Marekani sio signitories wa ICC hivyo jijazie mwenyewe. Kama hii korti ni ya kisehria au ni mojawapo ya yale kambi kama ya Guantanamo. ICC na Guantanamobay ni pet-projects za marekani FYI na huu mvutano kila unapo endelea, ICC ndio yaonekana kuweweseka kwasababu kaingilia M7 IGAD na AU who else is left to intervene?
 
Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika. Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.
Teh mkuu patachimbikia wapi mkulu???
 
Hahahaha..watu wanacomment hata bila kusoma habari..mseveni anachofanya ni kumtetea mwalifu mwenzake uhuru..eti patachimbika wapi ma kwa nani? Mtaenda kuivamia icc au? Watu wengine wana akili za ajabu sana..niliwai kusema uhuruto soon watakuwa jail birds au fugitives hawa wakina mseveni wanajaribu kuwaaribia tu...mbona yaye asimalizane na kony humo humo Ug?

Museveni kweli ni kichwa ngumu, lakini tusisahau kuwa yeye ana mipango sisi hatujui. Sisi Wakenya hatuta wagombea waingereza kuwa wana mifano ya kutuweza. Hata hivyo, tusiwe watu wa kulala whenever mzungu akilia. That said, I applaud him for speaking out and sponsoring an anti-colonial agenda. Today many will chastise him for his comments, but time will tell if he made the right call. We Africans have to get past the colonial mentality where we are reduced to eternal beggars. Hawa wazungu hawana ubaguzi ikifika wakati wa pesa. Chochote wanayofanya ni kuweza kutegenza mali. Uhuruto walichaguliwa katika kura ya nchi.
Don't be a puppet, but appreciate what we Africans can do when we unite. In the coming days, weeks & months, we will be inundated with editorials as to how Kenya is on a downward spiral, but that couldn't be further from the truth.
United we stand, divided we fall. Sisi Waafrika lazima to jivunie tutegenze dunia yetu bila usaidizi wa wazungu.
 
Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. "Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika." Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.

Kaka try to be economical with words; pachimbike vipi; nani watakao athirika; M7 au Kenya? where is your interest!
The whole agenda of the ICC process is about fighting impunity hususani katika hivi vinchi vya kusini ambavyo watawala wake hujifanya Miungu mtu; angalia the same UK unayeonyesha kumtetea ametajwa pia katika ripoti ya TJRC ya Balozi Bethwel Kiplagat; how clean is your UK; halafu unadiriki kusema eti ICC haina tena manufaa na mustakabali wa Kenya; kaka no research no right to open your mouth in public!
 
Hivi m7 siku hizi amekuwa msemaji wa kenya?..hivi sio huyu huyu m7 amedhulumu wakenya kisiwa cha migingo baada ya kugundua kuna mafuta pale!..hivi sio huyu m7 aliwaita wakenya crazy kipindi flani! Leo amekuwa darling wa wakenya..,m7 anajua kabisa soon na yeye atakuepo kwenye list ya the most wanted icc...maovu anayofanya Drc nani ajui..tokea lini ug ikawa the leading gold exporter wakati hata mgodi hawana...kausishwa kwenye kifo cha johh garang(RIP) nani ajui anajaribu kuwatetea hao wauaji! Kwa nini m7 anajaribu kutudrag kwenye maswala ya watu watatu! M7 mjanja sana.
 
[/B][/COLOR]Kaka try to be economical with words; pachimbike vipi; nani watakao athirika; M7 au Kenya? where is your interest!
The whole agenda of the ICC process is about fighting impunity hususani katika hivi vinchi vya kusini ambavyo watawala wake hujifanya Miungu mtu; angalia the same UK unayeonyesha kumtetea ametajwa pia katika ripoti ya TJRC ya Balozi Bethwel Kiplagat; how clean is your UK; halafu unadiriki kusema eti ICC haina tena manufaa na mustakabali wa Kenya; kaka no research no right to open your mouth in public!
Labda nime overeact target yangu ni mu7 namuona mnafiki sana. Yeye pia ni matereal ya ICC
 
Mseven ni mtuhumiwa pia, anasubiri siku zake zifike aende nae akajibu kesi yake, hataki kuachia madaraka kutokana na maovu mengi anayoyafanya Kongo, na pia alimuua John Garang. M7 si msafi kihivyo, anaweak ngao ili ikifika zamu yake aweze kujikinga.

Mtanapowatete hawa watu lazima mkumbuke pia roho za zaidi ya watu 1,000 na wengine ambao hata hivi hawana makazi. Harafu ninyi mnawatetea, haingii akilini kuona watu wazima wanawatetea wahalifu ambao wana-element zote kuwa walishiriki, maana kama wasingeshiriki na wako innocent kama wanavyosema kwa nini sasa wanatumia rasilimali nyingi za wakenya kwa ajili ya kujisafisha badala ya kusubiri mahakama iwasafishe kama ni wasafi kama wanavyosema wao.
 
Waafrika bana, tunapenda kuremebesha vimisemo ambavyo havina hata maana, eti wakimkamata patachimbika, wapi hapo patakapochimbika na nani apachimbe? Kama wakipachimba Kenya Wazungu wao itawahusu nini? Au mtakwenda na Vifaru kuvamia Ulaya kumtoa? Acha kujidanganya wakiamua kumkamata watamkamata hakuna kitu mtafanya, sana sana mtaanza fujo za kuuana wenyewe kwa wenyewe huku wenzenu wanakunywa Mvinyo na kutuma Ndege kuja kuwadondoshea Chakula cha msaada!

Well spoken. 100% truth.
 
Tuliza ball mkuu! Huoni kama Kenya inatakiwa kupata chance kuleta utulivu na utengamano baada ya watu wake kujiwekea katiba inayokidhi mahitaji yao kwa hali ya juu? Ulaya wana interest kubwa kenya unadhani wanaweza kuleta instability kwa kumkamata UK? Kwa nini mu7 anawatishia nyau, na kwa faida ya nani!

Ndiyo Kenya inastahili kupata chance ya kuleta utulivu na utengamano kama unavyosema. Tatizo ni kuwachagua war criminal suspects hata kama hawajahukumiwa kuwa ni wauaji. Wale waliosema CHOICES HAVE CONSEQUENSES walikuwa na maana yao. To ICC full steam.
 
Kenya kutachimbuka , The country might easily go the Somalia way. If that is in the interest of Britain and America basi wawakamate UhuRuto.
 
who is kenyatta mp
aka pachimbike?...patachimbika kati ya nani na nani? unajua mimi siwaelewi hawa wakenye..patachimbikajeee....mtaanza kuuwana nyie kwa nyie au mtaenda iccc kuwapiga majaji..hahahahah desperate nation
 
kivipi mafia ..mtakuwa mnapigana wenyewe kwa wenyewe au mnapigana na wazungu?

Wakenya watanyanyuana wao kwa wao, itakua mwisho wa 'Nairobi','Nakuru' na 'Naivasha' kama zilivyo kwa sasa.

Hii nayo itachochea vita kila mahali, utasikia MRC wameamka......
 
Wakenya watanyanyuana wao kwa wao, itakua mwisho wa 'Nairobi','Nakuru' na 'Naivasha' kama zilivyo kwa sasa.

Hii nayo itachochea vita kila mahali, utasikia MRC wameamka......

kelele, naomba washikwe tuone pakichimbika, kwani Uhuruto ni nani wa kuhold the entire country at ransom. Hii ushenzi ya kutishia wastu inafaa kuisha, NO ONE IS INDISPENSABLE.
 
Back
Top Bottom