kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 494
kelele, naomba washikwe tuone pakichimbika, kwani Uhuruto ni nani wa kuhold the entire country at ransom. Hii ushenzi ya kutishia wastu inafaa kuisha, NO ONE IS INDISPENSABLE.
Mu7 anazeeka vibaya na mambo anayofanya ndani ya nchi yake yanakaribisha kifo kwake mwenyewe na familia yake.Tangu aclaim kuwa anataka kuwa raisi wa kwanza wa East africa federation amekuwa akitoa kauli za kimamlaka na kusemea africa kama yeye ni rais wa Africa,very stupid.Mbona yeye alimpeleka Kony ICC kwanini asiombe mahakama ya Uganda kumshitaki Kony ndani ya UG?.Viongozi wa Africa wengi wao wamelewa madaraka na ujinga na hawafikirii maelefu ya watu waliokufa na kupoteza mali zao wakati wa PEV 2007.Africans Leaders and AU have lost legitimacy on human rights agenda and have no moral authority to protect against ICC since most of are prospecting captives.