Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika. Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.Uganda President Yoweri Museveni has sensationally claimed that there is a plot to detain President Uhuru Kenyatta at The Hague when his trial begins on July 9
http://www.nation.co.ke/News/Museve...n-Uhuru/-/1056/1863014/-/g5w5rhz/-/index.html
Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika. Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.
Tuliza ball mkuu! Huoni kama Kenya inatakiwa kupata chance kuleta utulivu na utengamano baada ya watu wake kujiwekea katiba inayokidhi mahitaji yao kwa hali ya juu? Ulaya wana interest kubwa kenya unadhani wanaweza kuleta instability kwa kumkamata UK? Kwa nini mu7 anawatishia nyau, na kwa faida ya nani!Waafrika bana, tunapenda kuremebesha vimisemo ambavyo havina hata maana, eti wakimkamata patachimbika, wapi hapo patakapochimbika na nani apachimbe? Kama wakipachimba Kenya Wazungu wao itawahusu nini? Au mtakwenda na Vifaru kuvamia Ulaya kumtoa? Acha kujidanganya wakiamua kumkamata watamkamata hakuna kitu mtafanya, sana sana mtaanza fujo za kuuana wenyewe kwa wenyewe huku wenzenu wanakunywa Mvinyo na kutuma Ndege kuja kuwadondoshea Chakula cha msaada!
Teh mkuu patachimbikia wapi mkulu???Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika. Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.
Hahahaha..watu wanacomment hata bila kusoma habari..mseveni anachofanya ni kumtetea mwalifu mwenzake uhuru..eti patachimbika wapi ma kwa nani? Mtaenda kuivamia icc au? Watu wengine wana akili za ajabu sana..niliwai kusema uhuruto soon watakuwa jail birds au fugitives hawa wakina mseveni wanajaribu kuwaaribia tu...mbona yaye asimalizane na kony humo humo Ug?
Hana lolote huyu dictator, kwanza anazeeka vibaya. "Hebu wamkamate UK basi kama hapajachimbika." Katiba iliyomweka UK madarakani na jinsi uchaguzi ulivyokwenda Kenya ku-sensalise eti anaweza kukamatwa the hague ni moja ya hila za mzee mu7. ICC wanapaswa kufahamu kesi dhidi ya UK sio tena ya manufaa kwa mustakabali wa kenya.
Labda nime overeact target yangu ni mu7 namuona mnafiki sana. Yeye pia ni matereal ya ICC[/B][/COLOR]Kaka try to be economical with words; pachimbike vipi; nani watakao athirika; M7 au Kenya? where is your interest!
The whole agenda of the ICC process is about fighting impunity hususani katika hivi vinchi vya kusini ambavyo watawala wake hujifanya Miungu mtu; angalia the same UK unayeonyesha kumtetea ametajwa pia katika ripoti ya TJRC ya Balozi Bethwel Kiplagat; how clean is your UK; halafu unadiriki kusema eti ICC haina tena manufaa na mustakabali wa Kenya; kaka no research no right to open your mouth in public!
Waafrika bana, tunapenda kuremebesha vimisemo ambavyo havina hata maana, eti wakimkamata patachimbika, wapi hapo patakapochimbika na nani apachimbe? Kama wakipachimba Kenya Wazungu wao itawahusu nini? Au mtakwenda na Vifaru kuvamia Ulaya kumtoa? Acha kujidanganya wakiamua kumkamata watamkamata hakuna kitu mtafanya, sana sana mtaanza fujo za kuuana wenyewe kwa wenyewe huku wenzenu wanakunywa Mvinyo na kutuma Ndege kuja kuwadondoshea Chakula cha msaada!
Tuliza ball mkuu! Huoni kama Kenya inatakiwa kupata chance kuleta utulivu na utengamano baada ya watu wake kujiwekea katiba inayokidhi mahitaji yao kwa hali ya juu? Ulaya wana interest kubwa kenya unadhani wanaweza kuleta instability kwa kumkamata UK? Kwa nini mu7 anawatishia nyau, na kwa faida ya nani!
kivipi mafia ..mtakuwa mnapigana wenyewe kwa wenyewe au mnapigana na wazungu?
Wakenya watanyanyuana wao kwa wao, itakua mwisho wa 'Nairobi','Nakuru' na 'Naivasha' kama zilivyo kwa sasa.
Hii nayo itachochea vita kila mahali, utasikia MRC wameamka......