UGANDA: Professor ajivua nguo zote hadharani baada ya "kutumbuliwa"

Video, mama atiririka matamshi mazito
Profesa wa matusi!!!! She is shaming the academic world!! The academic world is a wonderful place!!! Stripping is for strip dancers in bars and not for academicians. She is at the wrong place. She should go to the bars and strip dance there.
 
Katika sehemu nilipozidi kuwadharau Waganda, ni hapo! Tena , eti wakaamuru areudushie ofisi yake, badala ya kumfukuza kazi...!
 
Hehhee!! Duh, halafu hapo wanaume walikua wanakanyagana kila mmoja anataka kuona uhondo live.
Huyu mama inafaa mumewe akae mbali sana naye, ipo siku anaweza hata kumkata kichwa usiku kama wamelala. Wanawake siku hizi ni balaa.

hahahahahah nimechekaje
 
Hehhee!! Duh, halafu hapo wanaume walikua wanakanyagana kila mmoja anataka kuona uhondo live.
Huyu mama inafaa mumewe akae mbali sana naye, ipo siku anaweza hata kumkata kichwa usiku kama wamelala. Wanawake siku hizi ni balaa.
na ninyi wakenya mnapigwa na bibi zenu
 
Mtafiti wa tamaduni za jamii. Hapo anafanyia mazoezi moja ya tafiti zake.
 
Anayo akili ya darasani kufaulu masomo lakini haimsaidii kujua yeye ni nani na anafanya nini hapa duniani. Mwandamo wa mwezi....
 
Anayo akili ya darasani kufaulu masomo lakini haimsaidii kujua yeye ni nani na anafanya nini hapa duniani. Mwandamo wa mwezi....
mkuu, hizo ndio tamaduni za kiganda. sio unaona matokeo yake sasa wameamua kumrudisha kwa office wenyewe bila kupenda
 
Anahitaji ushauri nasaha,kutumbuliwa sio mchezo omba isikutokee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…