Uganda projects construction to start soon. Shame on you Kenyans

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Wakenya leo hii wametuletea habari kuwa World bank slams Uganda projects kuwa hazito lipa ikiwemo ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Uganda. Lakini habari njema leo nikuwa kampuni ya Israeli imeshinda zabuni ya ujenzi wa uwanja mpya wa Uganda. Ujenzi kuanza muda wowote

My take: Wakenya kwa sasa wameshikwa pabaya kwani nchi zote za EA zinajenga viwanja vya kisasa (TZ, RW, UG) ilikuondokana na upuhuzi wa JKIA kuwa hub ya EA. Hili nipigo kubwa sana kwao. Wamebakia kuandika habari zakupotosha wakizani sisi vilaza. Nimuda muafaka wakujitambua nakuacha kuangaika na media kuandika habari zakupotosha zisizo kuwa na tija kwa sasa.

Shikun & Binui secures new $309 million contract to build airport in Uganda

February 13, 2018

Israeli based construction and infrastructure company Shikun & Binui Ltd has secured a new contract to build an airport in Uganda.

The project will be located in a rural area of the oil-drilling region near Hoima and Lake Albert in northwestern Uganda. According to the contract, SBI, Shikun & Binui’s international construction arm, will construct the airport to support the development of the region’s oil industry.

The construction phase of the project is expected to last for three years, with the total paid to SBI over the course of the work estimated at approximately $309 million. The project will be financed by the British government (UKEF) and a commercial bank.

The components of the project include the paving of 3.5 kilometers of runways, the carrying out of earthwork and drainage activities, the pouring of asphalt and cement, the building of electro-mechanical, communications and navigation systems, and the erection of a cargo terminal, an air traffic control tower and additional residential and service structures.

To the best of the Company’s knowledge, the Ugandan government intends in the future to use the facility as the country’s second international airport.
 
Habari za chini ya zulia zinadai Uganda wako mbioni kujitoa mradi wa SGR na Kenya ndo maana media ya Kenya inawananga! Fahamu kuwa moody rating fall ya Kenya imeongeza interest rate kwa mkopo wa ujenzi wa reli.
 
Kenya hanaga rafiki wakudumu. Leo hi wameanza kumnanga Uganda huku alidai nirafiki yake number moja.
 
Habari za chini ya zulia zinadai Uganda wako mbioni kujitoa mradi wa SGR na Kenya ndo maana media ya Kenya inawananga! Fahamu kuwa moody rating fall ya Kenya imeongeza interest rate kwa mkopo wa ujenzi wa reli.
Geza Ulole, hivi mbona majina yako yanakaa ki uganga uganga hivi sawa na roho yako chafu?
 
Dah! Mbona Wabongo wana chuki dhidi ya Kenya hivi? Hizi comments zenye zimejaa chuki tele. Mimi ni mkenya na kukiwa na maendeleo bongo au TZ siumwi na chochote. It's a win for the EA community. It's like Tanzanians want to see the downfall of Kenya.
 
wajinga hawana hata direct flights wameanza kushangilia upumbavu..dont count your chicks before they hatch.....sasa ndege na airport ni nchi ipi haina??? cha muhimu ni kuwa na direct flights kwenda nchi kama USA, UK na Germany....JKIA ina hizi flights...sasa ndege na airport ndio nini limbukeni nyie? bila ya hizi direct flights watalii wenu wataendlea kutua JKIA mpaka mtakapochanuka....LDC ugonjwa bana
 
Dah! Mbona Wabongo wana chuki dhidi ya Kenya hivi? Hizi comments zenye zimejaa chuki tele. Mimi ni mkenya na kukiwa na maendeleo bongo au TZ siumwi na chochote. It's a win for the EA community. It's like Tanzanians want to see the downfall of Kenya.
jealousy my brother...These LDC idiots are very jealous of Kenya's dominance
 
Chuki hii Mkuu inatokana na tabia za Kenya dhidi ya majirani zake, mfano kipindi cha jk alitaka kujenga barabara ya Musoma,Arusha Kenya akachonga kwa mzungu barabara ikapigwa chini wakati kilikua kipande kidogo kinapita mbugani, mfano mwingine ni pale tz ilipotaka kuuza pembe zake za tembo hali ikawa hiyohiyo akachonga kwa mzungu tukapigwa chini, mfano mwingine kitendo chake cha kuunda COW, kuitenga tz na kuififisha kiuchumi, sasa mnategemea jirani akiwa na kimbelembele matokeo yake atakua jirani Wa mashaka, pia kipindi kile wakapiga burn magari kutoka tz kutochukua watalii kwa hayo machache Kenya ijiangalie sana kuishi vizuli na majiran, pia Kenya punguzeni majivuno na majigambo kuwatukana watz kua wavivu hiyo nayo ni sababu ya kuchukiwa na wtz wengi Kenya jitathimini
 
KQ ina launch flights Mauritius, New York, Atlanta....nauliza pigo mnalozungumzia liko wapi?
 
Chuki hii Mkuu inatokana na tabia za Kenya dhidi ya majirani zake, mfano kipindi cha jk alitaka kujenga barabara ya Musoma,Arusha Kenya akachonga kwa mzungu barabara ikapigwa chini wakati kilikua kipande kidogo kinapita mbugani, mfano mwingine ni pale tz ilipotaka kuuza pembe zake za tembo hali ikawa hiyohiyo akachonga kwa mzungu tukapigwa chini, mfano mwingine kitendo chake cha kuunda COW, kuitenga tz na kuififisha kiuchumi, sasa mnategemea jirani akiwa na kimbelembele matokeo yake atakua jirani Wa mashaka, pia kipindi kile wakapiga burn magari kutoka tz kutochukua watalii kwa hayo machache Kenya ijiangalie sana kuishi vizuli na majiran, pia Kenya punguzeni majivuno na majigambo kuwatukana watz kua wavivu hiyo nayo ni sababu ya kuchukiwa na wtz wengi Kenya jitathimini
Hiyo ndiyo nature yao na ukisha mjua uampuuzia tu!
ENZI YA EAST AFRICAN COMMUNITY!
 
Wavivu wao ambao wanashindwa hata kulima chakula idiots
 
Mtanzania anasherehekea ujenzi wa airport Uganda ilhali kwao aiport zinafanana na vibanda vya nguruwe😀😀😀😀 picha zipo...bisha ukaribishwe mara moja
 
Acha kuwakosea nguruwe heshima wewe, nguruwe ana nyama tamu sana. Sema vichinjio vya punda au ukipenda viwanda vya vifaranga! 😀
 
Hiyo ndiyo nature yao na ukisha mjua uampuuzia tu!
ENZI YA EAST AFRICAN COMMUNITY!
Dah, hayo mambo yalifanyika enzi zile watu wakivaa chupi za kweli, yaani hadi sasa hivi bado unayatilia maanani?
 
Back
Top Bottom