Uganda projects construction to start soon. Shame on you Kenyans

Uganda projects construction to start soon. Shame on you Kenyans

Wanatafuta consolation kutoka kwa LDC mwenzao baada ya kushindwa kuipiku Kenya, yani ni tag team ya kushinda Wakenya lakini bado sana.
ati airport? kwani nchi ipi haina airport ....these guys are very funny
 
Hii ni international forum JamiiForums.com ni national forum so huko JamiiForums.com wanacompete wakikuyu na wajaluo
Hahaha international forum na hata waganda mnaojaribu kuwalamba mat@k# hawapo hapa na pia nashangaa unaijuaje @JamiiForums.com kama sio wewe kuitembelea T255 = Annael.
 
Kinachowaponza ndugu zetu hao mara nyingi hawawasemi vizuri majirani zao. Wao huonesha hisia hasi moja kwa moja katika juhudi za nchi jirani kujiendeleza. Huwa hawana uvumilivu kama walivyo wenzao.
Hebu onyesha mahali mnatusema vizuri just point me one instance.
 
Hahaha international forum na hata waganda mnaojaribu kuwalamba mat@k# hawapo hapa na pia nashangaa unaijuaje @JamiiForums.com kama sio wewe kuitembelea T255 = Annael.
Ingia kwenye thread ya waganda wewe.Wewe hapa unatafuta nïni kama sio kutaka kuolewa na wa TZ?
 
Hebu onyesha mahali mnatusema vizuri just point me one instance.

Sisi hatuna shida hiyo. Shida ni kwako uliyelalamika na ndio tumekuambia. Ninyi mlianza kutusema na kutudharau. Zamani tulinyamaza kimya. Siku hizi tumeamka tunajibu. Tunashangaa mnavyoinuka sasa kutulaumu. Msome 254 humu JF uone kauli zake ndipo utaelewa.
 
Back
Top Bottom