Uganda, Rais Museveni amepitisha sheria ya kuzuia LGBTQ

Uganda, Rais Museveni amepitisha sheria ya kuzuia LGBTQ

Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ...
Atanyamaza kimyaaaa kama hajui kinachoendelea
 
Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ.

Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye. View attachment 2532866
Ni suala la muda tu ila ushoga utaruhusiwa dunia nzima, as long as marekani ndo inaupigia upatu, hata tufanye nini tutanyoka tu
 
Amani ya bwana iwe na comrade M7, long live Banzukulu Museven. Webale nyoo Ssebo, ubakubye basungu e goli isatu kwa bwerere.
 
Hakika kwa hili Museveni ametisha sana, Mungu aendelee kumtunza, kwa hili jambo amecheza kama Messi. Kuanzia sasa LGBTQ ni haramu Uganda, kumbukeni juzi hapa Kenya waliruhusu vitendo vya LGBTQ.

Nasubiri kuona mama yetu kipenzi Samia atafanya nini na yeye. View attachment 2532866
Huyu ndo mwamba sasa, sio wengine unafiki tu umewajaa, kelele nyingi vitendo sifuri.
 
Safi sana,
Sasa na Njaa zetu Africa utegemee Waganda wengi kuomba ukimbizi kwamba ni machoko wakirudi kwao watauliwa.
Hiyo ndio akili yetu ilipo[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza mie yaan.
 
kwani si ni mahakama zetu zimepitisha, sa unamfokea nani?😡😡😡

Siku mahakama ikipitisha nyie ukanda huo mtafurahi sana maana ndio desturi zenu hizo, upumbavu huo hautaukuta huku mikoani.
 
Hiyo habari ya lini weka tarehe tusije kutoa pongezi za bure. Nakumbuka mahakama ilifuta sheria miaka iliyopita
Naa sio mahakama bali ni bunge lilipitisha sheria ya kuufuta ule muswada ambao ulishhakuwa sheria tayari baada ya Museveni kuusaini. Ina maana sheria aliyopitisha Museveni ilikuwa repealed by the sama bunge kwa shunikizo la western countries. Sasa kuleta hii mada leo ina maana gani? And who is behind this?
 
Back
Top Bottom