Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
wao wenyewe wamejijuaWamechelewa sana, japokuwa wamefanya uamuzi sahihi.
#30MoreYears4M7!!!
humu ndani sasa kutakua na kenya vs Tanzania Vs UgandaTumawakaribisha Kwa kweli. Waachene na lugha ya Mkoloni na lugha za kikabila
Hata Wakenya wanapaswa kuachana na ujinga wao wa kukumbatia Lugha ya Mkoloni ingawa Katiba yao inasema lugha ya Taifa ni Kiswahilihumu ndani sasa kutakua na kenya vs Tanzania Vs Uganda
kumbeHata Wakenya wanapaswa kuachana na ujinga wao wa kukumbatia Lugha ya Mkoloni ingawa Katiba yao inasema lugha ya Taifa ni Kiswahili
Ila cha KQ mwisho wa vituko sijui Ug itakuwajeWaganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila
View: https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl
Karibu sasa rasmi:
heerhIla cha KQ mwisho wa vituko sijui Ug itakuwaje
Penyewe bwana iko inakulaga, pale bibi iko kwa kitanda
Nyie mbona mbaabudu kugha ya Mkoloni?Hizo English medium mnafuata nini? Taifa limejaa wanafiki sanaTumawakaribisha Kwa kweli. Waachene na lugha ya Mkoloni na lugha za kikabila
Ila cha KQ mwisho wa vituko sijui Ug itakuwaje
Penyewe bwana iko inakulaga, pale bibi iko kwa kitand
Zile English medium mnatafuta nini mule? kwani ukitia kingereza muna kitu gani kingine kinabakia kwa zile Englusha medium?Hata Wakenya wanapaswa kuachana na ujinga wao wa kukumbatia Lugha ya Mkoloni ingawa Katiba yao inasema lugha ya Taifa ni Kiswahili
Hawatoacha lugha yao halisi. Ni sawa sawa kuwakataza wasukuma wasiongee kisukuma sababu kiswahili kipoWaganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila
View: https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl
Karibu sasa rasmi:
kwan wakenya wameacha lugha yaoHawatoacha lugha yao halisi. Ni sawa sawa kuwakataza wasukuma wasiongee kisukuma sababu kiswahili kipo
uganda ina makabila mengi piaHawatoacha lugha yao halisi. Ni sawa sawa kuwakataza wasukuma wasiongee kisukuma sababu kiswahili kipo
Mkaribishaji mwenyewe kiswahili chake ni matatizo. Unawatisha sasa.Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila
View: https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl
Karibu sasa rasmi: