Uganda sasa wanazalisha mafuta ya maparachichi. Je, Tanzania tunakwama wapi?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Ukiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana.

Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi)

Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala

Ukiachana na ugunduzi mpya wa staili za mapenzi hakuna tunachoweza Gundua, kuna haja ya serikali kutilia mkazo kwenye Haya mambo ya Ugunduzi wa kimaendeleo.
 
Suala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.

Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k

Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?

Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.​
 
Serikali nayo inatakiwa itoe incentives. Mitambo kama unayosema isilipiwe kodi, na anayefungua hicho kiwanda apewe japo mwaka mmoja wa tax exemption kama wafanyavyo nchi zingine
 
Suala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.

Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k

Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?

Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.​
hivi umeshajalibu kufatilia kibali chochote,kila kitengo watataka wakugawane kwa rushwa.
 
Suala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.

Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k

Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?

Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.​
Sahihi
 
Nikopeshe ela
 
Mtapiga kelele sana, ila wa kwanza anayetakiwa kuonesha njia ni serikali.

Kwani kuna ugumu gani watungaji na watekeleza sera wakaenda study tour kwenye hizo nchi zilizopiga hatua kama China, South Korea, Malaysia, Singapole.

Uliishawahi kujiuliza, kwa nini mafuta ya kupikia kutoka Malaysia yanauzwa bei ya chini kuliko yanayozalishwa hapahapa nchini, wakati hayo ya Malaysia yamelipiwa usafiri wa meli?

Au ulishajiuliza kwa nini suruali ya jeans inayotengenezwa Tanzania inauzwa bei kubwa kuliko Jeans iliyotengenezwa China, wakati hiyo jeans imelipiwa gharama za usafiri?
 
PAGE2.

NINI KINAFANYA SOMALIA KUPELEKA MAJESHI YAKE UGANDA KWA MAFUNZO??

Je Uganda ndiyo ina jeshi bora kuliko yote Africa??
Je kuna uhusiano wa siri kati ya Yoweri Museveni na Raisi wa Somalia??

Je ni uhusiano kati ya hima Empire??

Soma:
Wanajeshi 2900 kutoka Somalia wamemaliza mafunzo yao ya kijeshi nchini Uganda.Wanajeshi hawa wataenda kuungana na wenzao katika jeshi la somalia ikiwa ni baada ya kumaliza mafunzo maalumu

Wanajeshi hawa wataenda kuongeza nguvu katoka kupambana na kundi la Al shababu nchini Somalia

PICHA[emoji1484]
IMG_3055.jpg

IMG_3056.jpg

IMG_3057.jpg

IMG_3058.jpg
 
Ubunifu wake ni simpo tu tena kuipata hiyo product ni simpo sana.

Shida ni je soko lipo? Je utashindana na mbadala uliopo hapo sokoni?
 
Ukute tayari anasoko ulaya
Bongo yapo sema demand bado ipo chini
 
Ukiachana na ugunduzi mpya wa staili za mapenzi hakuna tunachoweza Gundua, kuna haja ya serikali kutilia mkazo kwenye Haya mambo ya Ugunduzi wa kimaendeleo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom