Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Yas kwa sababu mafuta ya parachichi yanaonekana ni kundi la quality tena yenye afya. Lakini kwa kuwa wabongo wengi wamejidefine kama wanyonge na maskini (hadi wale wenye hela) unakuta kila mtu anatafuta cheap alternatives.Ukute tayari anasoko ulaya
Bongo yapo sema demand bado ipo chini
Rejea jinsi wachimbaji madini wanavyopenda kujiita wachimbaji wadogowadogo(hadi mabilionea!!). Wenye viwanda wanavyopenda kujiweka 'kiwanda/karakana ndogondongo'. Ndio inasaidia katika masuala ya kodi zetu hizi. Lakini unfortunately, how you do one thing becomes how you do everything na unyonge unatamalaki.