Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
HONGERA ZAO NAWAPONGEZA KWA UBUNIFU HUU MZURIUkiangalia katika ubunifu na technologia bado tuko nyuma sana.
Kifupi tunamatatizo mengi kuliko majibu (ufumbuzi)
Parachichi tulikua tunalima miaka yote mi tangu mtoto!!!..lakini bado tumelala
View attachment 2304360
Serikali nayo inatakiwa itoe incentives. Mitambo kama unayosema isilipiwe kodi, na anayefungua hicho kiwanda apewe japo mwaka mmoja wa tax exemption kama wafanyavyo nchi zingineSuala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.
Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k
Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?
Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.
hivi umeshajalibu kufatilia kibali chochote,kila kitengo watataka wakugawane kwa rushwa.Suala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.
Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k
Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?
Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.
Changamoto hizo zipo, ila usikubali vitu vya namna hiyo viue ndoto zako; mbona kuna wengine wamefanikiwa kuanzisha?hivi umeshajalibu kufatilia kibali chochote,kila kitengo watataka wakugawane kwa rushwa.
SahihiSuala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.
Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k
Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?
Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.
Suala la maendeleo ni juhudi za mtu binafsi; kuna mashine/mitambo ya kila namna inauzwa, na kinachotakiwa ni uthubutu tu.
Kuna mashine za kutengeneza vinywaji, kushona nguo, kushona viatu, kutengeneza mafuta, kutengeneza plastiki, n.k
Lakini, utakuta mtu anakopa milioni 100 anaenda kununulia gari n.k; sasa kwa nini asingetumia hiyo fedha kwa kununulia mtambo/mashine ambayo ingeleta chachu ya uanzishaji wa viwanda?
Kwa ushauri, anza ata wewe kwa kununua mashine ya kusindika parachichi ili kuleta maendeleo; upande wa serikali ni kukupatia vibali tu; vibali vingekuwa havitoki, hapo tungelalamika.
Jaribu kutembelea angalau benki 7 hivi; najua utapata pakuanziaNikopeshe ela
Jaribu kutembelea angalau benki 7 hivi; najua utapata pakuanzia
Ukute tayari anasoko ulayaUbunifu wake ni simpo tu tena kuipata hiyo product ni simpo sana.
Shida ni je soko lipo? Je utashindana na mbadala uliopo hapo sokoni?
Ubunifu, Kanasaidia uchujaji wa polepole mafuta ya nyonyo warm pressed castor oil
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil. Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa bila kuunguzwa ndio tukafikia hatua hii. Warm/cold presssed castor oil Kimashine kinaweza kuundwa na...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiachana na ugunduzi mpya wa staili za mapenzi hakuna tunachoweza Gundua, kuna haja ya serikali kutilia mkazo kwenye Haya mambo ya Ugunduzi wa kimaendeleo.