Uganda suspends the SGR project

Uganda suspends the SGR project

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
IMG_20181030_093945.jpg
 
Kwa mara ya kwanza Yoweri Museven kafanya jambo la hekima nchini kwake, maana huo mkopo wa hio SGR wangeimba nao kama wenzao. Wangetamani Idd Amini Dada afufuke kuja kuwasaidia kujitoa kwenye kitanzi shingoni.

Pia hio taarifa ya chini kabisa ya hilo gazetti kuhusu watu 260 border ya Uganda kufa kwa Ebola, wajiandae na balaa la huyo "tourist" Mheshimiwa Ebola, sio dogo na wajipange sana. Wamnyime visa ya kuja kuwatembelea Uganda mapema.
 
Never kabisa😂😂😂
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
 
Hili ni povu lilo pitishwa na KBS na TBS kwamba halifai kwa afya ya binadamu.
 
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Kwa taarifa yako Uganda Meter gauge is also connected to Tanzania😂😂😂
 
Back
Top Bottom