Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They will not connect their rail to Tanzania at all..why are u happy.
😳😳😳😳
Never kabisa😂😂😂Never trust Kenyans
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.Never kabisa😂😂😂
You know nothing!! Ngoja uone huo mchezo unavyo chezwa hauto amini! Nakushauri kwa sasa hivi weka akiba ya maneno.They will not connect their rail to Tanzania at all..why are u happy.
Hili ni povu lilo pitishwa na KBS na TBS kwamba halifai kwa afya ya binadamu.Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Right now meter gauge Kenya doesn't work!Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
There meter gage is connected to Tanzania😂😂😂They will not connect their rail to Tanzania at all..why are u happy.
Kwa taarifa yako Uganda Meter gauge is also connected to Tanzania😂😂😂Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Sadists at their very best.They will not connect their rail to Tanzania at all..why are u happy.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unapandisha watu pressure asubuhi kabla hawajapiga chang'aa.Kwa taarifa yako Uganda Meter gauge is also connected to Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu yakizidi muone dakitari 😂😂😂😂Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.