Uganda suspends the SGR project

Kwa mara ya kwanza Yoweri Museven kafanya jambo la hekima nchini kwake, maana huo mkopo wa hio SGR wangeimba nao kama wenzao. Wangetamani Idd Amini Dada afufuke kuja kuwasaidia kujitoa kwenye kitanzi shingoni.

Pia hio taarifa ya chini kabisa ya hilo gazetti kuhusu watu 260 border ya Uganda kufa kwa Ebola, wajiandae na balaa la huyo "tourist" Mheshimiwa Ebola, sio dogo na wajipange sana. Wamnyime visa ya kuja kuwatembelea Uganda mapema.
 
Never kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
 
They will not connect their rail to Tanzania at all..why are u happy.
You know nothing!! Ngoja uone huo mchezo unavyo chezwa hauto amini! Nakushauri kwa sasa hivi weka akiba ya maneno.
 
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Hili ni povu lilo pitishwa na KBS na TBS kwamba halifai kwa afya ya binadamu.
 
Umesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Kwa taarifa yako Uganda Meter gauge is also connected to Tanzania๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ