- Thread starter
- #21
πππ Tulisha maliza zamani kupitia portbellSadists at their very best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ Tulisha maliza zamani kupitia portbellSadists at their very best.
Pole sana. Magufuli sio mtu mzuri...ππππUmesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Tunachanja mbuga. πππππSadists at their very best.
siku zinabadilika sana mkuu,Tanzania ya sasa sio ile muijuayo,mganda kishaanza kufufua reli yake kwa upande wa ziwa victoria,hili dili magu kishalibebaUmesahau metre gauge ya Uganda haiendi Tanzania, inaenda Kenya? Endelea kusherehekea wakati sisi tunapeleka mizigo Uganda kwa reli wakati nyinyi hamna reli inayofika Uganda. Ni mdomo tu mko nayo kubwa.
Tunachanja mbuga. πππππ
Hii itaunga na Mwanza! Kumbuka China wametoa fedha za feasibility study kupitia Kagera.Tukomae tu na Isaka Kigali
Labda ataunga kupitia Rwanda
Ngoja TuoneHii itaunga na Mwanza! Kumbuka China wametoa fedha za feasibility study kupitia Kagera
Laugha inaanza kubadilikaπππHili sio jambo lipya, you merely doing what you stopped doing eons ago.
Imebadilika wapi ama hiyo reli ni mpya?Laugha inaanza kubadilikaπππ
Hii ni habari nzuri sana, nili isikia sehemu... kama una link naiomba mkuu, nina interest zangu binafsi na Kagera.Hii itaunga na Mwanza! Kumbuka China wametoa fedha za feasibility study kupitia Kagera
Tunachanja mbuga. πππππ
Umeongea kwa unyonge sana.. nini iko mbaya! Magu amejua kuwasomesha namba ili anza pipeline, Kagame aka wakacha sasa M7 na yeye ameona ma diesel train ndani ya 2018 siyo sawa [emoji23]. Kumbuka nikwanza miaka mitatu..Wabongo bana, eti reli ya Kenya ni railway to nowhere utadhani SGR yao imefika Canada. Hata hiyo meter gauge ya Kenya jina lake tangu jadi ni Kenya-Uganda Railway. Haha! [emoji1] Haya maisha ya kuishi mkitizama Kenya inawakosti sana.
what is gage...every one knows the meter gauge rail is connected to mombasa..idiotThere meter gage is connected to Tanzaniaπππ
Lolwhat is gage...every one knows the meter gauge rail is connected to mombasa..idiot