Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
[emoji23][emoji23][emoji23] ivi unaakili au matope?? Yani Serikali itake Ardhi yako halafu isikulipe fidia?? Serikali ikitaka Ardhi yako hapa unalipwa fidia 100% na kama umejenga wanapiga hesabu mpaka thamani ya nyumba.. Sema Watanzania wengi kwenye masuala ya miradi mfano barabara au umeme hutoa free Ardhi yao ili kufanikisha mradi ila ni uamuzi wao hawalazimishwi..Tanzania ardhi ni ya Serikali nyie maskuota tu mnahamishwa bila fidia ardhi ikihitajika kwa mradi.