Aisee unawaumiza Sana waswahil, mchoma kuku kila Leo anakurupuka tu, tukishamalizana na mzee odinga dah! Itakuwa no kuijenga nchi tu!! Alaf in other news wadau as kenyans tulishasemaga mifupa ni ya mbwa[emoji191] [emoji3] [emoji109] [emoji182] .Uwepo wa Magufuli Uganda na matamko yote ya wanasiasa sio issue, cha msingi ni mikakati yetu kibiashara, nimekuambia miundo mbinu ambayo tunafanikisha inaendelea kuchimba na kuhakikisha tunakua kwenye soko la usafiri ukanda wote huu.
Hao Rwanda, Burundi, Congo huwa tunawapata tu kama bakshishi maana wapo mbali nasi, ni kwa sababu ya uwezo wetu kimiundo mbinu ndio tunawapata, na kadiri tunavyozidi kuongeza ndivyo tunawapata zaidi, hata Tanzania Kaskazini na kanda ziwa huwa tunawapata, na tunataka tuwameze kabisa.
Uwepo wa Magufuli Uganda na matamko yote ya wanasiasa sio issue, cha msingi ni mikakati yetu kibiashara, nimekuambia miundo mbinu ambayo tunafanikisha inaendelea kuchimba na kuhakikisha tunakua kwenye soko la usafiri ukanda wote huu.
Hao Rwanda, Burundi, Congo huwa tunawapata tu kama bakshishi maana wapo mbali nasi, ni kwa sababu ya uwezo wetu kimiundo mbinu ndio tunawapata, na kadiri tunavyozidi kuongeza ndivyo tunawapata zaidi, hata Tanzania Kaskazini na kanda ziwa huwa tunawapata, na tunataka tuwameze kabisa.
Kama kawaida kuropoka kwako, hujui kwamba ujenzi wa reli toka port bell hadi Kampala hizo kilometer 11 anayelipia ni Tanzania Port Authority, ninyi hata kilometre moja ya reli yenu mumeshindwa kulipia?, sasa hivi nchi imeshindwa kulipa $770million Rotich anazunguka duniani kutafuta mkopo wa kulipa hilo deni, uchumi unaokufa kama huo wenu utawezaje kupambana na nchi iliyotoa $3.1B kulipia reli yake?, badala ya kuja kuomba tuwasaidie pesa ya kulipia hayo madeni yenu, badi mnamatumaini ya kushindana na giant?Port bell ni fursa murwa kwa SGR ya Mombasa to Kisumu na port of Kisumu kufaidika zaidi na kushikilia transportation of goods to and fro the great lakes region.
Kenya already imenyakua Hii kitu, Tanzania ni kukenua meno tu with empty promises and nothing to show for it.
Quote me next time with pictures as evidence of your on going or finished projects.Kama kawaida kuropoka kwako, hujui kwamba ujenzi wa reli toka port bell hadi Kampala hizo kilometer 11 anayelipia ni Tanzania Port Authority, ninyi hata kilometre moja ya reli yenu mumeshindwa kulipia?, sasa hivi nchi imeshindwa kulipa $770million Rotich anazunguka duniani kutafuta mkopo wa kulipa hilo deni, uchumi unaokufa kama huo wenu utawezaje kupambana na nchi iliyotoa $3.1B kulipia reli yake?, badala ya kuja kuomba tuwasaidie pesa ya kulipia hayo madeni yenu, badi mnamatumaini ya kushindana na giant?
Baba, Usiongee hayo mbele ya Magufuli hatanii! Angalia mlivyoufyata suala la ng'ombe zenu!Kama ni cha geographical location, Tanzania ya leo iko pale pale tangu mpate madaraka. Leo hii Bandari la Mombasa pamoja jkia bado ni bingwa kwa uchukuzi.
Kama ni cha urafiki na Uganda, mlimsaidia Museveni wakati wa vita,mlimlisha,mkamvalisha,mkampa bunduki tena mkamuongezea wanajeshi wenu wakamsaidie kuingia mamlakani. kama mlimfanyia hayo yote na hajawafaidisha hadi wa leo kwasababu ya undugu huo, surely mbona mnaota ndoto kama watoto wachanga... Its just business, period! Hakuna cha eti sijui sisi ni marafiki, na mandugu...blah blah, at the end of the day, kilicho muhimu ni nani atasafirisha Mizigo vizuri imfikie mwanabiashara Uganda
Kuna meli mbili so far kwa ajili ya train wagons! The third Wakorea wamepewa contract! Na naskia Bakhresa yupo mbioni kuweka vyombo vyakeUmesahau kuwa hata hiyo unayoiita mipango yenu inafanywa na wanasiasa, hivyo acha kuneza makubaliano ya magufuli na jpm, ni dhahili Meli ya umoja ikianza kufanya kazi, na reli ya uganda ikakamilika mtajikuta mzigo wa uganda tunagawana pasu.
Kumbuka kwa utaratibu unaoandaliwa, waganda watakuwa hawaendi dar kufuata mzigo. Watatakiwa kupokelea mizigo yao mwanza na kuipandisha kwenye Meli.
Kuhusu wafanyabiashara wanaochukua mizigo yao Kenya, hao ni negligible maana ni wachache sana. Na hao ni wale wa Musoma ambayo kijiografia iko karibu zaidi na Nairobi. Just 400+Km kutoka Musoma to Nai. Kwa mantiki hiyo, mfanyabiashara ambaye haagizi mzigo moja kwa moja ila anachukua kwa wholesalers anaweza akaenda Nairobi ambapo kwake ni karibu zaidi. Hata hivyo hao wamepungua zaidi kama sio kuisha kwa sasa!
wataelewa tu hawa nyang'auKuna meli mbili so far kwa ajili ya train wagons! The third Wakorea wamepewa contract! Na naskia Bakhresa yupo mbioni kuweka vyombo vyake
Kwisha habari yenu, lipeni kwanza hiyo $770million ndiyo uje tuongee, sisi kila kitu tunanunua kwa pesa cash, usishindane na Tembo kunya, utachanika anus.Quote me next time with pictures as evidence of your on going or finished projects.
Kila siku unatupigia kelele za picha, na ww tuwekee picha za Hoima-Lamu pipeline.Quote me next time with pictures as evidence of your on going or finished projects.
Picha za hivyo mnasema mumevinunua Cash please.Kwisha habari yenu, lipeni kwanza hiyo $770million ndiyo uje tuongee, sisi kila kitu tunanunua kwa pesa cash, usishindane na Tembo kunya, utachanika anus.
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
Hamna picha zozote ndio maana tumenyamaza.Kila siku unatupigia kelele za picha, na ww tuwekee picha za Hoima-Lamu pipeline.
[emoji15] [emoji15] nimeamini huko Kenya hamna madem, hiyo mibonge bonge ndio unakenua kenua hapa? Nimefuta mpango wa kuja huko machakani [emoji53]Aisee unawaumiza Sana waswahil, mchoma kuku kila Leo anakurupuka tu, tukishamalizana na mzee odinga dah! Itakuwa no kuijenga nchi tu!! Alaf in other news wadau as kenyans tulishasemaga mifupa ni ya mbwa[emoji191] [emoji3] [emoji109] [emoji182] .View attachment 628762
Museveni and Magufuli enter deals that underline their continued isolation of KenyaQuote me next time with pictures as evidence of your on going or finished projects.
Halafu wamesahau kuongelea reli ya Kampala-Port Bell! Wacha Magufuli afanye mambo yake huku upanuzi wa viwanja vya ndege vya Tanga na Mwanza, upanuzi wa Bandari za Tanga na Dar, maboresho ya reli ya kati na ile ya Tanga-Arusha huku meli mbili za kubeba mabehewa zikiboreshwa na nyingine mpya kuanza kuundwa na Wakorea! Mwenye macho haambiwi ona! Jamaa anataka sana biashara ya mizigo ya Uganda na ataipora kutoka Kenya.Museveni and Magufuli enter deals that underline their continued isolation of Kenya
Kama kawaida yenu kulialia, mtalia sana safari hii, HAPA KAZI TU
Magufuli noma sana. Baada ya miaka miwili hivi lazima wakenya watakuja kupiga magoti. Huyu jamaa yupo real serious wao wanapiga propaganda yeye anafanya kweli.Halafu wamesahau kuongelea reli ya Kampala-Port Bell! Wacha Magufuli afanye mambo yake huku upanuzi wa viwanja vya ndege vya Tanga na Mwanza, upanuzi wa Bandari za Tanga na Dar, maboresho ya reli ya kati na ile ya Tanga-Arusha huku meli mbili za kubeba mabehewa zikiboreshwa na nyingine mpya kuanza kuundwa na Wakorea! Mwenye macho haambiwi ona! Jamaa anataka sana biashara ya mizigo ya Uganda na ataipora kutoka Kenya.
Yaani hawa watu hawana akili,walipounda"coalition of the willing "walituona mafala,sasa huko ndio kuisoma namba,na bado.ngoja Reli ikamilike.alafu,wanataka waingie nchi za wengine wavue samaki bila kuulizwa,waharibu mazingira ya wengine,kuulizwa,waingize vitu kwenye nchi bila kuulizwa, eti wanatengwa.hicho kipigo mnachopata ni cha mbwa mwizi.nilichogundua ni kwamba, pipeline ya Uganda, imewauma sana,ndio maana,kila makala inayotolewa ikiilalamikia TZ kwa jambo lolote,lazima pipeline mwitaje.Museveni and Magufuli enter deals that underline their continued isolation of Kenya
Kama kawaida yenu kulialia, mtalia sana safari hii, HAPA KAZI TU
Mimi huwa wakati fulani ninakaa na ninaifikiria sana Kenya ndani ya miaka 5 ijayo itakuwa wapi, unajua Magufuli ni mtu hatari sana, kama Kenya hawatachukua tahafhari uchumi wa Kenya unaweza kuwa kwenye hali mbaya sana, lazima Kenya washituka muda huu na waanze kumfanya Magufuli kuwa rafiki yao ili washirikiane badala ya kumuweka mbali, wanampa nafasi ya kuwazunguka kama anavyofanya sasa hivi, ngoja tufanye analysis fupi sana,Halafu wamesahau kuongelea reli ya Kampala-Port Bell! Wacha Magufuli afanye mambo yake huku upanuzi wa viwanja vya ndege vya Tanga na Mwanza, upanuzi wa Bandari za Tanga na Dar, maboresho ya reli ya kati na ile ya Tanga-Arusha huku meli mbili za kubeba mabehewa zikiboreshwa na nyingine mpya kuanza kuundwa na Wakorea! Mwenye macho haambiwi ona! Jamaa anataka sana biashara ya mizigo ya Uganda na ataipora kutoka Kenya.