Uganda to refurbish Kampala-Port Bell railway

Mi napenda waendelee kumtenga hivyo hivyo maana napenda ushindani wake!
 
Jpm akikamilisha reli hadi mwanza na meli anazounda zikiwa tayali basi wafanyabiashara wataamia bongo
 
Babaa si uweke picha za SGR na Bagamoyo Port juu umetuimbia kwa muda wa zaidi ya miaka kumi hivi.
Nikijiunga hapa JF nilipata ukibeza Kenya vile Tz itaipiku Kenya na bado ninangoja hiyo usiku 10+years later.
The only major development Tz has achieved after Tazara ni ile 500m bridge in Dar, that's a fact unless photographic evidence is provided.
Contrary to Tz jealous allegations on Kenya's dominance, it is clear that We lead others follow.
 
Mbona picha za matuta zipo ujenzi wa SGR ikiendelea na niliziweka! Ina maana kwa Dar hujui BRT project? Na airport na port expansion projects? Huu wivu aisee ni mamako tu anaweza kuuondoa!
 
Mbona picha za matuta zipo ujenzi wa SGR ikiendelea na niliziweka! Ina maana kwa Dar hujui BRT project? Na airport na port expansion projects? Huu wivu aisee ni mamako tu anaweza kuuondoa!
Hebu weka Tena hizo matuta na kadhalika niweze kusadiki povu lako.
 
Ati mimi nina povu Pitia threads zenye caption ya SGR Tanzana usiku na mchana!
Hebu kwanza weka hizo kazi za usiku na mchana Hahahaha it always makes my day.
Sasa SGR imefika wapi as we speak?
Pink Elephant Bagamoyo iko na berths ngapi hivi?
 
wewe mtoto mbona mpumbavu hivyo? TAZARA imejengwa lini?? unalinganisha Daraja la jana tu na TAZARA. hivi wewe unajua madaraja mangapi tunejenga kwa miaka hii ya karibuni. unajua tumejenga trunk na regional roads za kuunganisha mikoa ngapi. nchi saa hizi unatoka Kusini mpaka kaskazini ni tarmac Mashariki mpaka magharibi ni mkeka tu.
usiwe ukiropoka ropoka mbele ya baba zako.
 
Anawashwa na kibarabara cha kuunganisha Turkana na Nairobi ambacho daraja lake limesombwa na maji juzi!
 
Can you bring any concrete proof that Tz will use its taxpayers money to build a UG owned rail.
Cause the info out there is even the Tz section upgrade was done by World bank at 300b tzsh.

Anyway, once port bell is open for business with a working rail connection, it will be open for all business, regardless of origin, Kisumu port os closer to port bell that Mwanza... Bado tutakua tume checkmate
 
Hawa jamaa wanafikiria Kenya ilifika ilipofika kwa kubahatisha, watashangaa miaka mitano baadaye watakua bado stori ni zile zile za 'ngoja tuki, ngoja tuta,"
Alafu naona wako na hitilafu flani, kila issue ni 'magufuli this, magufuli that!' Yani ni kama future ya Tz nzima iko mikononi mwa magufuli, ni kama ambae maendeleo yote ya Tz yanategemea Magufuli kubaki madarakani, la sivyo hakuna lolote litakalo fanyika.

Anyway back to topic, This is the situation.

Kisumu iko karibu zaidi na port bell kuliko Mwanza.

Sgr ya Kenya itakua inaenda direct hadi Kampala bila kuhitaji Mizigo kushukishwa na kupakiwa ndani ya meli.

Kisumu pia inajenga upya bandari. Phase one ya bandari la kisumu litagarimu $250million USD
 
Hawa jamaa wanafikiria Kenya ilifika ilipofika kwa kubahatisha, watashangaa miaka mitano baadaye watakua bado stori ni zile zile za 'ngoja tuki, ngoja tuta,"
kwikwikwi.endelea kujifariji. Hata mgonjwa anayeekelea kufa hujifariji.
 
Sasa hilo ni la kubisha pia?
 
kwikwikwi.endelea kujifariji. Hata mgonjwa anayeekelea kufa hujifariji.
Pale ukianza kuona picha za ujenzi wa bandari la Kisumu ndo utajua Kenya sio nchi ya kuchekelewa ikija kwa biashara, nyinyi endeleeni kupiga gumzo jingi.

Kisumu port renders zilishatoka
 
Pale ukianza kuona picha za ujenzi wa bandari la Kisumu ndo utajua Kenya sio nchi ya kuchekelewa ikija kwa biashara, nyinyi endeleeni kupiga gumzo jingi.

Kisumu port renders zilishatoka
View attachment 629340
Nyanza wanajitenga sasa hiyo reli na bandari sijui itajengwa lini!
 
Umeona yetu ya Mwanza? Ya Port Bell ambayo Kfz imetoa fedha? Choral diagonal line Kisumu-Kampala na Mwanza-Kampala halafu use me huo u mbali unatoka wapi! BTW hiyo $250 mln ya Kisumu port ni nje ya fedha za Mchina za reli sio? [emoji23] [emoji115]
 
Nyanza wanajitenga sasa hiyo reli na bandari sijui itajengwa lini!
Typical Tanzanian move! Yaani hakuna hata siku moja utakosa kumuona mtanzania akiombea kenya ipatwe na janga flani ndo Tanzania ipiku Kenya.
Kwa haya mashindano ya kibiashara,Mkenya ataombea Tz isipatwe na janga lolote ili tukiwashinda tuwashinde fair and square, msiwe na sababu yoyote , Lakini mtanzania siku zote ana miondoko kama ya mchawi vile, ukimtajia tunajenga sgr , ' hoo alashabaab wataibomoa' ukimtajia bomba la mafuta, hoo ukame utawaua nyote, ...

Hata tugawanyike kiasi gani reli itafika kampala,
 
Povu, Kisumu vijana wanataka bunduki
 
Umeona yetu ya Mwanza? Ya Port Bell ambayo Kfz imetoa fedha? Choral diagonal line Kisumu-Kampala na Mwanza-Kampala halafu use me huo u mbali unatoka wapi! BTW hiyo $250 mln ya Kisumu port ni nje ya fedha za Mchina za reli sio? [emoji23] [emoji115]
Nairobi ICD expansion ililipiwa na loan ile ile ya mchina. Wakati wanatia sahihi kandarasi pia walipiga kandarasi za phase 2 yote ambayo ili include Kisumu port..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…