Uganda Turns to Kenya

I like the fact that baada ya Kenya na Uganda kufungua mipaka Yao (A Kenyan only needs an ID to cross the border) Uganda for the first time sold more goods than Kenya .... Kina watu wengine kutoka kusini mwa nchi yetu wamekua wakidanganywa Kwa propaganda za CCM Kwa zaidi ya miongo miwili kua ukiwaachia wakenya waingie nchi Yao watachukua biashara zao, mashamba Yao Hadi watawashikisha tabia zao ..etc Mimi sijawahi ona nchi ambayo iko green na inamashamba yenye rotuba kuliko Uganda hapa EAC, walifungulia wakenya mipaka na Sisi tukawafungulia roho Safi, na sasa wamefaidi zaidi kutuliko Yani trade yetu na Uganda iko zaidi ya $1B !
Imagine kama ingekua trade Naina ya Tz na UG pia iko $1B, Kenya na Tz =$1.5B... etc.... EAC ingekua haihitajii kutegemea nchi za EU au Asia au Marekani, ingekua Kenya ina export vikombe vya glasi UG na kununua Vikombe vya plastic kutoka huko, Tz ingekua ina export transformer zote zinazotumika Kenya kwa umeme exclusively na Kenya ingekua ina export meter na nyaya zote za umeme..etc Lakini vile tulivyo mazuzu tunawachia China aje achukue malighafi huku Africa akatengeneze bidhaa alafu aje atuuzie wakati Sisi bado tunabishana kuhusu maziwa na mahindi!
Juzi niliskia kulia ndani ya supermarket nilipoona kibao cha kukandia chapati cha plastic chenye kimeandikwa 'made in China!) Yani hata wajasirimali wanaochonga vibao na chopping board kutumia mbao na mikono Yao miwili pia wanauliwa biashara zao na vibao vinavyotengenezwa na mashini huko China!






------
Anyway, Kwa wale wanaosema uchumi wa Kenya umezorota ndo maana Ug ime export zaidi, Kenya wamenza ku export zaidi Kwa nchi zengine Africa kwahivyo tulipata masoko mengine kuuza bidhaa ambazo Uganda imeanza kujitengezea wenyewe...good for UG sasa wameanza kujitegemea, kitambo ilikua hata toothpaste hawatengenezi.. ndani ya COMESA kuna nchi nyingi Sana ambazo haijafika level ya Uganda ambazo tunazidi kuwauzia mafuta ya kupikia, sabuni, siagi.etc
 
That is exports by KTDA other Tea companies not included
Hahahaha, hiyo ni total exports per year, lete data inayopingana na hiyo, ninyi kazi yenu ni kupika data, IMF imewashitukia sasa mnatapata. Lete data inayoonyesha tea export revenue umefika $2B.
 
Umezungumza mambo mazuri sana, kila mtu angependa iwe hivyo, ila fahamu kwamba Kenya na Tanzania tuna tofauti kubwa ya malezi na makuzi, Kenya ni mabepari, Tanzania ni wajamaa, ni wazi kwamba lazima kuna tofauti kubwa sana ya mitizamo.

Tatizo ninaloliona Mimi binafsi ni kwamba, Kenya wanadhani mtizamo wa kibepari katika kukuza uchumi ndio Sera sahihi na yeyote atakayeleta mtazamo tofauti basi anakua adui wa Kenya, kwamba anataka kusabotage uchumi wa Kenya, kwamba anaionea wivu Kenya, hili ni tatizo kubwa sana linalofanya Tanzania na Kenya kutoelewana.

SADC nchi zinaheshimiana Sana, yaani hakuna mivutano pamoja na kwamba nchi zimetofautiana sana kiuchumi, yaani hakuna kusikia nchi inalalamika kwamba kuna hostility. Mfano mzuri ni kwamba tangu kuchaguliwa kwa Magufuli hajawahi kutembelea nchi hata moja ya SADC licha ya marais 4 toka SADC kutembelea TZ, lakini husikii nchi hata moja ikilalamika kwamba kuna hostility, Kenya kila siku Magufuli asipokuja hapo mnapiga kelele za hostility, kweli mnakera sana.
 
hehehehehe Uganda wanatoroka!!!!!

ow yeah nilisahua haujui kusoma wala kuhesabu!!!!! hahahahahaha
View attachment 950149
Akili yako ni mbovu sana. Uko Jamiiforums ya Watanzania, na bado unasema unasema hatujui kusoma. Sasa tulianzishaje JF mpaka nyie wakora mnapata nafasi ya kuja kutapika your misinformed disinformation here?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…