Uganda wanaendelea kuwataja madereva wa Tanzania walioathirika Corona, hivi mbona hao hamuwapigii makelele?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Museveni ni mkaidi balaa, huwa hana muda na ujinga au utoto, hata mkilia lia vipi bado anaendelea kuwaumbua waficha maradhi. Kwake anataja kabisa idadi ya madereva wa kutokea mataifa jirani ambao wana maambukizi ya corona, anawasema Watanzania bila kumumunya maneno, watajijua wenyewe kwao huko wanakofukia vichwa ardhini.

Sisi tukitaja, Watanzania hulia lia sana ila kwa Uganda wameufyata.

Kwake huko Mseveni kafanya full lockdown, ina maana wameteseka sana halafu kajamba yeyote aje awaambukize corona kizembe, jamaa wana hasira sana wale.

Capture.PNG

=======

Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT | Fourteen new cases of the coronavirus (COVID-19) have been confirmed bringing the number of confirmed Ugandan nationals to 212.

All the new cases are previous contacts of truck drivers who were under quarantine at the time that they were tested. The new cases were part of 1,739 samples that were tested yesterday.

According to the Ministry of health, over 1500 people are under quarantine at 150 sites in the country. Majority of the sites are located in the Northern part of the country.

A total of five Tanzanian truck drivers who tested positive for the virus were yesterday handed over to Tanzanian authorities.

Source: The Independent
 
Nyie mlikua mnafanya kisiasa zaidi ndiyo maana tukawaziba midomo

Nahisi ni kwa sababu sisi tuna ushawishi mkubwa Afrika hii, tukitaja kitu kinasklizwa na dunia yote, media nyingi duniani zinatufuatilia sana kila tunachokisema, sasa inakua hatari kwa mnaoficha haya maradhi maana tukitaja mnaumbuka kwa kasi, ila Mganda hata aseme wiki iishe hakuna anayefuatilia huko, ni kama nyie mlivyo, hamuna ushawishi wowote na hakuna ambaye huhangaika kufuatailia mnachokisema maana mpo mpo tu.

Kwa mfano ingekua ule usanii wenu wa mapaipai umesemwa na rais wa Kenya, yaani itokee sisi ndio tumepima mapaipai na kuisema, yaani dunia leo hii haingekalika, mngeona kote kote CNN, BBC, Aljazeera wote kote breaking news za kutilia shaka vifaa vya kupima corona.

Ni kama ilivyo kijijini au kitaani au kwenye familia, kuna mtu anafahamika yupo yupo tu muongea hovyoo, hata akisema chochote wanampuuza maana huongea ongea ili siku ipite, ila kunaye akitia neno inabidi kikao kiagizwe cha kujadili kauli yake.
 
  • Mshangao
Reactions: rr4
Museven anaongea kwa utashi wake hivyo tunamsamehee. Nyie mnaongea kwa utashi wa beberuz hivyo tunajitahidi kuwarudisha kwenye right track ili muwe na akili zenu sio za kushikiwa remote control.
 
Tukawaziba midomo nani anaushawishi hapo

Siku zote tulishasema kipau mbele chetu ni afya ya Wakenya, hivyo hatuna haja na wagonjwa wenu, ilmradi mlishatuomba tukiwapata na kirusi tuwapokeze kwenu kimya kimya ili muendelee kuficha, hatuna budi kufanya hivyo, maana sisi tuna mitazamo ya kibepari, tunasaka soko na kuhakikisha diplomasia katika kila tukio. Hatuna ujinga wa ubabe usiokua na tija haswa kwa nchi maskini kama nyie, tunataka kuendelea kufanya biashara na kupiga hela, hivyo lazima tuwatekenye kila mkitununia, tunahakiksha mnajichekelea na kuachia.
 
Nyinyi Wakenya ujuaji mwingi sana. Mambo mengine huwa mnafanya bila kujali hata undugu. Inakuwajw nyie kila siku mlikuwa mnawa test positive watu wetu na tulipowapima sisi baadhi yao wakawa negative. Ilikuwaje mnataka kufunga mipaka na Tanzania kwa upendeleo(nyinyi muingie kwetu sisi tusiingie kwenu). Mlitupinga kwa hatua zetu za kuto lockdown nchi, nyinyi mnaelekea kuifungua nchi yenu at the time the graph is still climbing to the top.

Kenyans you are our relatives as our leaders hv been saying always. But you always want to take yourselves as the special ones infront of us.

TUKITUNISHIANA MISULI NYINYI MTAUMIA SANA KULIKO SISI.
 
Wakenya mnakuwa watu wa ajabu kiasi. Unakuta Mkenya yuko TZ anaishi na kupata kipato Bongo lkn wakati huohuo anakashifu na kuwadharau Wabongo hadharani tu. Mnajiona bora sana. Wakenya walio Bongo ni wengi mnoo kuliko Wabogo tulio kwenye ajira za Kenya, Tukifanya jeuri mnayofanya nyie, Wakenya ndio mtaumia.

CORONA VIRUS ipo Kenya kwa wingi sana. Waganda huko Malaba wana watreat wakenya kwa namna ambayo mnasitahili kwa midomo yenu.
 
Siku zote tulishasema kipau mbele chetu ni afya ya Wakenya, hivyo hatuna haja na wagonjwa wenu, ilmradi mlishatuomba tukiwapata na kirusi tuwapokeze kwenu kimya kimya ili muendelee kuficha, hatuna budi kufanya hivyo, maana sisi tuna mitazamo ya kibepari, tunasaka soko na kuhakikisha diplomasia katika kila tukio. Hatuna ujinga wa ubabe usiokua na tija haswa kwa nchi maskini kama nyie, tunataka kuendelea kufanya biashara na kupiga hela, hivyo lazima tuwatekenye kila mkitununia, tunahakiksha mnajichekelea na kuachia.
Kipao mbele chenu ni Afya? kwa zile karantini mbovu na chafu mnazoweka watu na kuwapiga hela mpaka wanalia na wengine wakiwaza kujiua?
Kama ni hivo basi sijui yalikuw sio kipau mbele yakoje
 
tuzipuuze idea za majira zetu kwani wamelala fofofo lockdown haitaweza kusaidia lolote kwani huu ni ugonjwa wa unaofanana na mafua infact nionavyo mimi ugonjwa huu upo hewani zaidi na huitaji mtu awe na lishe bora zaidi huku akila matunda mengi sana ili hatimaye mwili iushinde , sasa ndugu zetu hawa kwa kuwafungia watu ndani huku ukiwapa maarage na mahindi hakika watakuja juta baadae , binafsi kwa mawazo yangu mimi ugonjwa huu tunao au tumesha upata ila tukapona bila kujifahamu kutokama na uimara wa miili yetu kwa msaada wa melanin au weusi wa miili yetu ikumbukwe sisi waafrica tumewazidi wazungu vitu 9 muhimu katika miili yetu au kwa uimara
 
Ni kama ilivyo kijijini au kitaani au kwenye familia, kuna mtu anafahamika yupo yupo tu muongea hovyoo, hata akisema chochote wanampuuza maana huongea ongea ili siku ipite, ila kunaye akitia neno inabidi kikao kiagizwe cha kujadili kauli yake.
Usifananishe Tanzania na Chizi au mateja wa mtaa tafadhali 😂😂 😂 tutanyimwa chakula😁
 
Na hao waKenya wenzako waliokutwa na corona mbona huwaongelei.

Nyie ndo wale majirani wambea wambea kila kukicha unachungulia jiran kafanya hichi na kile.
 
Nyinyi Wakenya ujuaji mwingi sana. Mambo mengine huwa mnafanya bila kujali hata undugu. Inakuwajw nyie kila siku mlikuwa mnawa test positive watu wetu na tulipowapima sisi baadhi yao wakawa negative. Ilikuwaje mnataka kufunga mipaka na Tanzania kwa upendeleo(nyinyi muingie kwetu sisi tusiingie kwenu). Mlitupinga kwa hatua zetu za kuto lockdown nchi, nyinyi mnaelekea kuifungua nchi yenu at the time the graph is still climbing to the top.

Kenyans you are our relatives as our leaders hv been saying always. But you always want to take yourselves as the special ones infront of us.

TUKITUNISHIANA MISULI NYINYI MTAUMIA SANA KULIKO SISI.

Kwenye mahuasiano ya kimataifa hamna pumba za undugu ila maslahi, pelekeni hayo mambo ya ujamaa kuleeeeee....
 
Na hao waKenya wenzako waliokutwa na corona mbona huwaongelei.

Nyie ndo wale majirani wambea wambea kila kukicha unachungulia jiran kafanya hichi na kile.

Sisi hatufichi maradhi watangaze, nyie ndio mnalia mkitajwa.
 
Nahisi ni kwa sababu sisi tuna ushawishi mkubwa Afrika hii, tukitaja kitu kinasklizwa na dunia yote, media nyingi duniani zinatufuatilia sana kila tunachokisema, sasa inakua hatari kwa mnaoficha haya maradhi maana tukitaja mnaumbuka kwa kasi, ila Mganda hata aseme wiki iishe hakuna anayefuatilia huko, ni kama nyie mlivyo, hamuna ushawishi wowote na hakuna ambaye huhangaika kufuatailia mnachokisema maana mpo mpo tu.

Kwa mfano ingekua ule usanii wenu wa mapaipai umesemwa na rais wa Kenya, yaani itokee sisi ndio tumepima mapaipai na kuisema, yaani dunia leo hii haingekalika, mngeona kote kote CNN, BBC, Aljazeera wote kote breaking news za kutilia shaka vifaa vya kupima corona.

Ni kama ilivyo kijijini au kitaani au kwenye familia, kuna mtu anafahamika yupo yupo tu muongea hovyoo, hata akisema chochote wanampuuza maana huongea ongea ili siku ipite, ila kunaye akitia neno inabidi kikao kiagizwe cha kujadili kauli yake.
Wacha wee!!

Hahahaha aisee manina walahi.

Ushawishi mnao kweli, si unakumbuka mlitushawishi tuwasaidie mahindi kipindi cha njaa?

Kilichobaki tumieni huo ushawishi wenu kuomba msaada kupambana na Al Shabab.
 
Back
Top Bottom