Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Jirani yetu mwingine ni mwungwana sana. Ukimkasirikia babu utakuwa mtu wa ajabu sana!! Babu afanye atakachofanya, aseme atakachosema kwetu ni kicheko tu! Babu hakasirikiwi!!Siku zote tulishasema kipau mbele chetu ni afya ya Wakenya, hivyo hatuna haja na wagonjwa wenu, ilmradi mlishatuomba tukiwapata na kirusi tuwapokeze kwenu kimya kimya ili muendelee kuficha, hatuna budi kufanya hivyo, maana sisi tuna mitazamo ya kibepari, tunasaka soko na kuhakikisha diplomasia katika kila tukio. Hatuna ujinga wa ubabe usiokua na tija haswa kwa nchi maskini kama nyie, tunataka kuendelea kufanya biashara na kupiga hela, hivyo lazima tuwatekenye kila mkitununia, tunahakiksha mnajichekelea na kuachia.
HAha my brother ugunduzi wa Tanzania ulijadiliwa katika lugha zaidi ya 100. Sisi ambao tupo mitandaon daily tuna ushahid juu ya hilo.Nahisi ni kwa sababu sisi tuna ushawishi mkubwa Afrika hii, tukitaja kitu kinasklizwa na dunia yote, media nyingi duniani zinatufuatilia sana kila tunachokisema, sasa inakua hatari kwa mnaoficha haya maradhi maana tukitaja mnaumbuka kwa kasi, ila Mganda hata aseme wiki iishe hakuna anayefuatilia huko, ni kama nyie mlivyo, hamuna ushawishi wowote na hakuna ambaye huhangaika kufuatailia mnachokisema maana mpo mpo tu.
Kwa mfano ingekua ule usanii wenu wa mapaipai umesemwa na rais wa Kenya, yaani itokee sisi ndio tumepima mapaipai na kuisema, yaani dunia leo hii haingekalika, mngeona kote kote CNN, BBC, Aljazeera wote kote breaking news za kutilia shaka vifaa vya kupima corona.
Ni kama ilivyo kijijini au kitaani au kwenye familia, kuna mtu anafahamika yupo yupo tu muongea hovyoo, hata akisema chochote wanampuuza maana huongea ongea ili siku ipite, ila kunaye akitia neno inabidi kikao kiagizwe cha kujadili kauli yake.
MK254 Covid19 tanzania imepungua watu washarudia maisha ya kawaida ,hao mnaotangaza Kenya na Uganda ni Kutoka nchi nyingine.
Ila wakenya maneno mengi vitendo haba ilikuwaje mkashindwa mapema na kutaka maongezi na usuluhishi. Hadi wa leo museven hatujamjibu kuanzia kubeza maombi mpaka uhuru tulionao ndo maana anahangaika sana