Uganda wanaendelea kuwataja madereva wa Tanzania walioathirika Corona, hivi mbona hao hamuwapigii makelele?

MK254 Covid19 tanzania imepungua watu washarudia maisha ya kawaida ,hao mnaotangaza Kenya na Uganda ni Kutoka nchi nyingine.
 
Huyo Jirani yetu mwingine ni mwungwana sana. Ukimkasirikia babu utakuwa mtu wa ajabu sana!! Babu afanye atakachofanya, aseme atakachosema kwetu ni kicheko tu! Babu hakasirikiwi!!
Lakini pia huyu Jirani yetu mwingine anajua kujiheshimu sana, chochote atakachosema hakilengi kudhalilisha wala kufurahisha beberu. Na sisi tunamheshimu sana naye anatuheshimu sana.
 
Uganda si rahisi kutumika, kwa hapa East Africa ni rahisi sana kuitumia Kenya na Rwanda kuliko hizi zingine.
 
Kenya ni chimbo la mabeberu kwahiyo lazima tulimulike kwa jicho kali.

Mizizi ya Borris imeota na kujichimbia chini mpaka kwenye ikulu ya uhuru kinyata.

Unaweza kudhani anaongea kwa ulevi, kumbe ni borris anazungumza kupitia yeye.

Tutawamulika na kuwadhibiti tu. Hakuna namna.
 
HAha my brother ugunduzi wa Tanzania ulijadiliwa katika lugha zaidi ya 100. Sisi ambao tupo mitandaon daily tuna ushahid juu ya hilo.
 
MK254 Covid19 tanzania imepungua watu washarudia maisha ya kawaida ,hao mnaotangaza Kenya na Uganda ni Kutoka nchi nyingine.

Wacha kwanza tumuuguze mdogo wenu Nkurunzinza na mkewe maana kawaiga nyie kwa ukaidi, yamemtokea puani tena ndani ya ikulu, sasa sijui makajamba maskini wa kule Burundi nani atawasaidia.....haswa waimba mapambio wa wao au buku saba kama mnavyopenda kuita wa kwenu.
 
Ila wakenya maneno mengi vitendo haba ilikuwaje mkashindwa mapema na kutaka maongezi na usuluhishi. Hadi wa leo museven hatujamjibu kuanzia kubeza maombi mpaka uhuru tulionao ndo maana anahangaika sana
 
tz ni kitovu cha korona hapa africa!😂
 
Ila wakenya maneno mengi vitendo haba ilikuwaje mkashindwa mapema na kutaka maongezi na usuluhishi. Hadi wa leo museven hatujamjibu kuanzia kubeza maombi mpaka uhuru tulionao ndo maana anahangaika sana

Sisi ni mabepari, wanabiashara, hatushindani kwa ushindani tusiokua na maslahi nawo, ndio maana mkitununia huwa tunawatekenya mnaachia maana tunahitaji kupiga hela kote kote.
Nyie ujamaa uliwalemaza kiakili mnaishi kimajungu majungu na kupenda kununia kila kitu kama wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…