mkanyikivega
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 215
- 224
Nikifikiria mechi iliyo mbele yetu ya kufuzu AFCON, naona ni mechi rahisi sana kwetu. Lakini kinachoniwazisha zaidi ni kwamba ni mechi ambayo kwanza Refarii atakua na wasiwasi sana na maamuzi yake uwanjani.
Pili, magolikipa wa Uganda nao maana kwa hali ilivyo macho mengi sana yatakua yanaangalia kithibitisho chochote kile cha mechi kuuzwa, CECAFA, CAF, FIFA, chama cha soka Cape Verde na chama cha soka Lesotho.
Waganda wako nafasi nzuri sana kwa viwango vya FIFA kwa hio wengi wanataegemea Uganda kushinda mechi hiyo na si vinginevyo.
Nafurahi kwa mawazo mengi na T Stars yangu, natamani Uganda wasingekuwa majirani zetu maana tungecheza kwa amani sana.
Kikubwa uzima tuu mengine yote ziada.