Uganda wasingekuwa majirani zetu, Taifa Stars ingecheza kwa kwa amani sana dhidi yao

Uganda wasingekuwa majirani zetu, Taifa Stars ingecheza kwa kwa amani sana dhidi yao

mkanyikivega

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
215
Reaction score
224
Nikifikiria mechi iliyo mbele yetu ya kufuzu AFCON, naona ni mechi rahisi sana kwetu. Lakini kinachoniwazisha zaidi ni kwamba ni mechi ambayo kwanza Refarii atakua na wasiwasi sana na maamuzi yake uwanjani.

Pili, magolikipa wa Uganda nao maana kwa hali ilivyo macho mengi sana yatakua yanaangalia kithibitisho chochote kile cha mechi kuuzwa, CECAFA, CAF, FIFA, chama cha soka Cape Verde na chama cha soka Lesotho.

Waganda wako nafasi nzuri sana kwa viwango vya FIFA kwa hio wengi wanataegemea Uganda kushinda mechi hiyo na si vinginevyo.

Nafurahi kwa mawazo mengi na T Stars yangu, natamani Uganda wasingekuwa majirani zetu maana tungecheza kwa amani sana.

Kikubwa uzima tuu mengine yote ziada.

kichhuya.jpeg
 
Nasemaje akuna cha kubebwa wala nini tucheze kadili ya uwezo wetu ata tukifungwa tufungwe tu amna namna aya mambo ya kubebana tunaweza ishia kuwaponza uganda tukakosa wote michuano.Kwan ni lazima kwenda uko?
 
Kama huyu fala Amunike ajafukuzwa tusitegemee lolote.amna kocha pale.
 
Nasemaje akuna cha kubebwa wala nini tucheze kadili ya uwezo wetu ata tukifungwa tufungwe tu amna namna aya mambo ya kubebana tunaweza ishia kuwaponza uganda tukakosa wote michuano.Kwan ni lazima kwenda uko?
😀😀😀 lazima mkuu. tonge liko mdomoni, kushindwa kulimeza ni uzembe kiwango cha changarawre
 
Siyo kweli eti wako kiwango kizuri kutufunga bana, mbona kwao walishindwa? Tena isingekuwa samatta kutaka kufunga kifundi tungewazaba
 
Hatuna haja ya kufuzu Afcon kwa timu yetu hii maana tutaenda kutia aibu sana huko Cameroon
 
Tstars hakuna lolote
Subirini maumivu zaidi

Ova
 
Back
Top Bottom