Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

Uganda: Wizara ya Afya imesema mgonjwa wa mwisho wa Ebola ameruhusiwa kutoka Hospitali

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Wizara ya Afya imetangaza taarifa hiyo na kueleza hali ya matumaini ya kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa huo ulioathiri watu 142 na kuua wengine 56 imerejea nchini humo.

Afisa Kutoka Wizara ya Afya, Diana Atwine ameandika pia kupitia Twitter "Ninafuraha kutangaza kwamba tumemruhusu mgonjwa wa mwisho wa Ebola. Mungu ametuona licha ya janga hili,".

Shirika la Afya Duniani (WHO) limeipa Uganda uangalizi wa siku 42 ambazo kama hakutaripotiwa Mgonjwa mpya, itatangaza rasmi kuwa haina Ugonjwa huo.

==================

Uganda has discharged its last known Ebola patient from hospital, a senior health official said on Friday, raising hopes that an outbreak which has killed at least 56 people could be coming to an end.

Officials first confirmed the outbreak in September and said it was the Sudan strain of the disease, which kills 40%-60% of those it infects, and for which there is no proven vaccine.

"Happy to announce that we discharged the past Ebola patient ... God has seen us though this epidemic," Diana Atwine, a top official at the health ministry, wrote on Twitter.

She said medics would continue to monitor people who had come into contact with infected patients until they have been clear for 21 days. She did not say when the last new case was confirmed.

The government-imposed travel restrictions, an overnight curfew and shut places of worship and entertainment in October to try and contain the outbreak in central Uganda, but several cases later appeared in the capital and east of the country.

Ebola causes vomiting, bleeding and diarrhea and spreads via contact with bodily fluids of the infected.

The virus can sometimes linger in the eyes, central nervous system and bodily fluids of survivors and flare up years later. Uganda has recorded 142 infections from the latest outbreak.

The World Health Organization (WHO) says a country needs to pass 42 days - twice the maximum incubation period - after the last confirmed case for it to be declared Ebola-free.

REUTERS
 
Bora iishe maana ninapanga kuja huko kutembea.

Waganda ni wakarimu sana na nawapenda mno
 
Back
Top Bottom