Kwakuwa lugha ya kiingereza huuimiza msisitizo au kurahisisha kuonekana kwa ukweli kimitazamo mimi bado sikubaliani na hili! kwa ufupi ni virus wanaosababisha huo ukosefu wa kinga mwilini na kwa njia rahisi maambukizi hupitia tendo la ndoa linalofanyika bila kinga!
Nilisha ambiwa na askari wa kimarekani ambaye kiujumla alikuwa anawachukia wazungu wenzake (RIP) aliniambia hao virus walitengenezwa katika maabara za kijeshi huko marekani na lengo lilikuwa ni kukimaliza kizazi cha watu wenye asili ya aafrika katika marekani! ikatokea tendo la ndoa halikingiki mzungu anataka kuonja ya mwafrika na mwafrika anataka kuonja ya mzungu na virusi navyo havikuchagua damu! Sina hakika kama nikweli pia!