Uganda yapitisha sheria mpya kukataza wanawake kuvaa nguo fupi

Uganda yapitisha sheria mpya kukataza wanawake kuvaa nguo fupi

Inasemekana kum'bania jicho mwanamke ni kosa kisheria tanzania!
 
Acha kututukana,kwa hiyo we unaona wanawake kuonesha mapaja ndio welevu?acha ulimbukeni

Wewe na wenzako wote mnaounga mkono huo ujinga ni wapumbavu tu. Nguo zenyewe mmeletewa halafu leo eti mnajifanya sungusungu wa maadili. ------- wakubwa nyie.

Lakini kwa vile na mijanamke nayo inaona ni sawa, basi poa tu. Acha itungiwe sheria za kijinga jinga.

Na msiishie hapo. Tungeni na sheria za kujamba, kunuka vikwapa, na kucheua.
 
Wewe na wenzako wote mnaounga mkono huo ujinga ni wapumbavu tu. Nguo zenyewe mmeletewa halafu leo eti mnajifanya sungusungu wa maadili. ------- wakubwa nyie.

Lakini kwa vile na mijanamke nayo inaona ni sawa, basi poa tu. Acha itungiwe sheria za kijinga jinga

Na msiishie hapo. Tungeni na sheria za kujamba, kunuka vikwapa, na kucheua.
Wewe ni wale wanaofanya mapenzi na mabinti zao,mimi huwaita wauza mikundu.
 
UKIMWI unaanzia mwilini mwako na kuishia mwilini mwako humo humo, huwezi kumwambukiza mwingine wala mwingine yeyote hawezi kukuambukiza wewe UKIMWI.

Ahaaaa!!! Ok, basi vimini vinachangia maambukizi ya virusi vinavyo sababisha ukimwi!!
 
Bora yangu mie sivaagi hata vimini hata wakileta huku sitahangaikaa
 
Daaah walete na hapa bongo!!! Maana kitaa huku hali si hali!!
 
140219081848_africa_miniskirt_304x171_bbc_nocredit.jpg

Maandamano ya kkupinga agizo la wanawake kutovalia sketi fupi.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zenye watu uchi.

Wanawake pia wamezuiwa kabisa kuvalia sketi fupi sana au 'Mini Skirt' kama zinavyojulikana au blausi ambazo zinaonyesha kifua chao hadharani na kusababisha hisia za kingono .

Sheria hiyo inasema kuwa nguo kama hizo zitakubalika tu ikiwa zinatumika kwa ajili ya mafunzo au wakati wa michezo na hafla za kitamaduni.

Akihutubia waandishi wa habari, mjini Kapmala, waziri wa maadili na utawala bora, Reverend Simon Lokodo alisema kuwa Rais Museveni alipitisha sheria hiyo tarehe 6 mwezi huu, miezi mwili bada ya bunge kuipitisha.

Kwa mujibu wa sheria hiyo kamati dhidi ya vitendo hivyo itabuniwa ili iweze kutekeleza sheria hiyo kwa kuhakikisha kuwa picha, au video zenye watu uchi zinanaswa na kuharibiwa.

Kamati hiyo, itajumuisha watu kutoka katika sekta mbali mbali ikiwemo ya habari na utumbuizaji.

Sheria hiyo inasema kuwa mtu yeyote atakayepatikana akijihusisha na vitendo cya watu kuwa uchi, kuvalia nusu uchi , kuona sinema za watu wakiwa uchi au kuchapisha picha za watu walio uchi kwa lengo la kuleta hisia tofauti utachukuliwa hatua kali za kisheria.

Waziri alisema kuwa serikali haitaki watu kuvalia nguo zisizo na heshima na kuzua hisia zisizofaa miongoni mwa watu.

Watakaopatikana wakivunja sheria na kuvalia visivyo watafungwa hadi miak 10 na wale watakaopatiokana na hatia ya kuhusisha watoto katika biashara ya ngono watafungwa hadi miaka 15.

Thubutu kuvalia 'Mini Skirt' Uganda - BBC Swahili - Habari

mi imejengeka kichwani mwangu kwamba waganda wanavaa nguo sinazo waacha nusu uchi tangu nianze kuangalia tv. kama sheria imechelewa hivi...
 
Back
Top Bottom