Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

Watu hamjui kitu mnaandika tu, huo mradi hautekelezwi kwa hela ya mkopo, ni muwekezajo anakuja kuwekeza.

Acheni upotoshaji
 
Msihofu tutawapa Chato airport wakamate tukishindwa kulipa mkopo wao.

Tofauti ya mchina na beberu, beberu akamati mali ya mdaiwa.
 
kwa hiyo hamtaki kulipa mikopo yenu maana ukiwa na hofu hiyo mana yake huna nia ya kulipa
 
Watu hamjui kitu mnaandika tu, huo mradi hautekelezwi kwa hela ya mkopo, ni muwekezajo anakuja kuwekeza.

Acheni upotoshaji
Hata gesi mlitetea hivyo hivyo kuwa mgao wa umeme utakuwa historia lakini lakini mpaka sasa
 
Mkuu mchina mwenyewe amekana
 
Hebu fikiria Uganda wangekuwa na mtu kama Prof Assad ni kwamba madhaifu ya mkataba/ madeni ya Wachina yangemulikwa mapema na uwanja wa ndege Entebe ungepona.

Waje Tanzania wajifunze utawala bora.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwan CAG ndiyo decision maker wa mikataba kwenye nchi au 🤣 🤣 🤣 ,unaongea as if Tanzania ina mikataba bora duniani kutokana na ma CAG wetu
 
Hivyi ulazima huu kwani kijana Yule hakumalizana na wachina,si tulisikia mzee aliingilia Kati?
Kwani yule kijana hakumalizana na wachina?,tulisikia mzee aliingilia Kati! Kumbe Kati ni kuwapa gesi na bandari ya Bagamoyo!
 
ILA HAO MANABU
Waliouza na kununua babu zetu kama maandazi leo ndo unawaona wana UTU? Aisee
ILA HAO MABABU ZETU MASALIA YAO LEO YANAWATAWALA HADI WAZUNGU,ULISHAWAHI ONA HATA MUAFRIKA AMEKUWA MEYA CHINA??
 
ILA HAO MANABU

ILA HAO MABABU ZETU MASALIA YAO LEO YANAWATAWALA HADI WAZUNGU,ULISHAWAHI ONA HATA MUAFRIKA AMEKUWA MEYA CHINA??
Wanasaidia nini Afrika hao the so called 'masalia'..? Bila ya sisi wenyewe kuamka na kujitambua si Uchina wala Amerika watakuja kwa ajili ya kututoa kwenye umaskini. Sio wajomba zetu wale.
 
Wanasaidia nini Afrika hao the so called 'masalia'..? Bila ya sisi wenyewe kuamka na kujitambua si Uchina wala Amerika watakuja kwa ajili ya kututoa kwenye umaskini. Sio wajomba zetu wale.
AKILI ZA KUSAIDIWA NI AKILI ZA KIMASIKINI CHA MSINGI TUKIAMUA TUNAWEZA
 
komenti za wengi hapa wana laumu china/wachina

Hivi waganda walilazimishwa kukopa?
je mkopo ulitumika kama ilivyo kusudiwa?
je kulikuwa na ulazima gani wa kufanya upanuzi kwa fedha za mkopo?
je ni faida gani zimepatikana kutokana na upanuzi wa uwanja?

ushauri wangu:
Ule mradi wa Bagamoyo, dhamana ya mkopo iwe kisiwa cha unguja na Pemba
 
Na hapo ni kuboresha tu uwanja!
Hii mikopo yetu, nasikia pamoja na riba ni 82 T, tumeweka nini dhamana?
Naamini madalali wa mikopo wangejua vitu vilivyowekwa rehani, wasingeshangilia mvinyo baada ya kupewa mikopo.
 
Nimependa ushauri ulioutoa mkuu. Na iwe hivyo
 
Hii ni zaidi ya kashfa aiseee🙌🙌museveni aachie tu nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…