Hahaha kama kilichotokea Trizii 😁!
Tulinyoshana kidogo...Hahaha kama kilichotokea Trizii 😁!
Pahh pahhh paahhh hadi huoni njia ya home 😊!Tulinyoshana kidogo...
Muda uliongea...Pahh pahhh paahhh hadi huoni njia ya home 😊!
Playbook ya dictators wote ni moja!Mods naombeni huu uzi usihamishwe, hali hii imekuwepo hata hapa nchini,
Mamlaka ya Mawasiliano ya Uganda imewaamuru watoa huduma za intaneti nchini humo kuzima huduma zao hadi itakapotangazwa tena.
Hatua hiyo inajiri wakati nchi hiyo ikielekea kwenye Uchaguzi wa Rais na Wabunge siku ya Alhamisi na inakuja baada ya kampeni kumalizika.
Serikali imetoa katazo kwa wananchi kuingiza vifaa vya internet ya starlink hadi wapewe kibali maalum
Ungemwonesha njia mwenzio 😊🤭!Muda uliongea...
Ona hii ng'ombe sijui imeandika niniWanaharakati Uchwara akina Maria Sarungi, Watajifanya kufungua kesi dhidi ya Kampuni za Simu kwa kuwakosesha huduma ya Internent wateja wake.
Wakijua fika ni Maelekezo kutoka Juu.
Huku ni kuchanganyikiwa kwa Harakati
Unazamia hata Guest au lodge, haina kuulizana ulikua wapi...Ungemwonesha njia mwenzio 😊🤭!
Hapo akili ingemkaa sawa mbona!Unazamia hata Guest au lodge, haina kuulizana ulikua wapi...