Uganda yenye wagonjwa 33 yatangaza " lockdown" kwa siku 14, Kenya yenye wagonjwa 50 bado viongozi hawajui la kufanya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Uganda Under Total Lockdown

President Yoweri Kaguta Museveni, while addressing the Coronavirus status on Monday night, ordered for a total lockdown in Uganda for the next 14days.

Museveni ordered for complete shutdown of operations by private cars, Tuk-tuk and boda bodas, saying that the directive was informed by indiscipline of Ugandans who didn't fully follow the guidelines laid out to stop the spread of Coronavirus.

Museveni said that the earlier ban on public transport had lead to private vehicle owners carrying passengers while pretending to be relatives and overcharging them for their own benefit. The ban on private vehicles should to start from Monday 10pm.

As from March 31, Museveni said there would be a curfew starting from 7pm, with the exeption of cargo vehicles, but clearly stated that that did not apply to boda bodas, bicycles and tricycles.

Museveni said that although food stores are to continue with their operations, they are required to meet some health requirements. He ordered that garages, saloons, lodges and other non-food shops to close immediately for a period of 14 days.

This comes after Rwanda and South Africa effected total lockdown, with other African countries weigh on whether or not to take that route. As at Monday night, the number of confirmed cases of Coronavirus stood at 33.

======

Katika kipindi kigumu ndio unaweza kupima umadhubuti na uimara wa viongozi.

Kuchukua maamuzi mazito na magumu kwa wakati husika ni sifa kuu ya uongozi bora.

Katika kuzuia maambukizi ya magonjwa ya mllipoka jambo muhimu linalotumika kufikiria ni wakati gani kuamua kuchukua hatua.

Rais Museveni ametangaza kuanza kwa amri ya watu kutotoka nje baada ya watu wenye virusi vya Corona kufikia 33, hii inaifanya Uganda kuwa nchi ya pili katika Afrika mashariki baada ya Rwanda ambayo ilitanga amri hiyo idadi ya wagonjwa ilipofikia 40.

Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kwamba, Kenya pamoja na kufikia idadi ya wagonjwa 50 hadi sasa, hakuna hatua zozote za maana ilizochukua ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi zaidi ya kutangaza kila siku kwamba idadi inaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnawasha washwa sana na hii nchi ya Kenya. Wakati kwenye nchi yenu hamna cha maana mlichofanikisha, isipokuwa usanii wa rais wenu kupigwa picha akiota jua juu ya miamba na kunywa kahawa. Yaani mnaowasema kwamba wamechanganyikiwa waziri wao anatoa updates kila jioni. Rais U.K. amepunguza ushuru kwenye sekta mbali mbali, watumishi wa umma kwenye gazi za juu wamepunguziwa mishahara kwa 80%. Magari ya usafiri wa umma yanabebea abiri kwa 70% ya uwezo wao. Dawa zinapulizwa kote mijini, sabuni na sanitizer za kugawa bure kwa wananchi zinaendelea kutengenezwa kwa wingi viwandani. Shughuli ya kupima kwa mkupuo ilianza jana na watu 2,050 wakapimwa, mask wataanza kuzisambaza bure. Nguo maalum za kujikinga zimeanza kutengenezewa hapa hapa Kenya. Serikali nayo imeanza kuongeza stock kwenye reserves za vyakula. Sehemu za karantini zipo kwenye kila gatuzi, kits za kupima ni 20,000 kufikia sasa. Kwa taarifa yako agizo limepeanwa jana la kuzuia usafiri kutoka kwa gatuzi moja hadi lingine.
 
Acha maneno nengi, ninyi mumezoea kusema sana lakini hakuna kinachoonekana " on the ground", mara sisi ni middle income economy, lakini ndiyo nchi ambayo bila kukopa hamuwezi kufanya mradi hata mmoja kwa pesa yenu.

Ninyi mlikua mnajisifia kuwa na " National reserve kubwa", vipi mnashindwa kusimamisha nchi kwa siku 14 na mtumie hiyo "reserve yenu?. Mnashindwa na nchi zenye uchumi mdogo kabisa ambazo siku zote mlikua mnazicheka na kuzikebehi, lakini chumi zao zinauwezo wa kuhimili misukosuko kama hii, ila ninyi maneno mengi lakini nchi ni hovyo kabisa.

Hatutaki mtuambie habari za kupunguza mishahara na blaah, blaah nyingi. Sisi tunachotaka kuona ni idadi ya maambukizi kupungua, sio kututangazia kila siku kama mnavyotangaza mpira.

How it stands:
Tanzania 19, nor death
Kenya 50, 2 deaths

Lazima leo idadi Kenya itapanda, bado mnakenua macho eti mnafurahia kutangaziwa kila siku. Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnawasha washwa sana na hii nchi ya Kenya. Wakati kwenye nchi yenu hamna cha maana mlichofanikisha, isipokuwa usanii wa rais wenu kupigwa picha akiota jua juu ya miamba na kunywa kahawa. Yaani mnaowasema kwamba wamechanganyikiwa waziri wao anatoa updates kila jioni. Rais U.K. amepunguza ushuru kwenye sekta mbali mbali, watumishi wa umma kwenye gazi za juu wamepunguziwa mishahara kwa 80%. Magari ya usafiri wa umma yanabebea abiri kwa 70% ya uwezo wao. Dawa zinapulizwa kote mijini, sabuni na sanitizer za kugawa bure kwa wananchi zinaendelea kutengenezwa kwa wingi viwandani. Shughuli ya kupima kwa mkupuo ilianza jana na watu 2,050 wakapimwa, mask wataanza kuzisambaza bure. Nguo maalum za kujikinga zimeanza kutengenezewa hapa hapa Kenya. Serikali nayo imeanza kuongeza stock kwenye reserves za vyakula. Sehemu za karantini zipo kwenye kila gatuzi, kits za kupima ni 20,000 kufikia sasa. Kwa taarifa yako agizo limepeanwa jana la kuzuia usafiri kutoka kwa gatuzi moja hadi lingine.
LOL lijiparagraph lote hili wakati ulitakiwa kusema tu simply "msaada wa Jack Ma tumeanza kuutumia"
 
Wakenya kuimba mapambio mnaweza Sana vitendo Sasa sufur
Mnawasha washwa sana na hii nchi ya Kenya. Wakati kwenye nchi yenu hamna cha maana mlichofanikisha, isipokuwa usanii wa rais wenu kupigwa picha akiota jua juu ya miamba na kunywa kahawa. Yaani mnaowasema kwamba wamechanganyikiwa waziri wao anatoa updates kila jioni. Rais U.K. amepunguza ushuru kwenye sekta mbali mbali, watumishi wa umma kwenye gazi za juu wamepunguziwa mishahara kwa 80%. Magari ya usafiri wa umma yanabebea abiri kwa 70% ya uwezo wao. Dawa zinapulizwa kote mijini, sabuni na sanitizer za kugawa bure kwa wananchi zinaendelea kutengenezwa kwa wingi viwandani. Shughuli ya kupima kwa mkupuo ilianza jana na watu 2,050 wakapimwa, mask wataanza kuzisambaza bure. Nguo maalum za kujikinga zimeanza kutengenezewa hapa hapa Kenya. Serikali nayo imeanza kuongeza stock kwenye reserves za vyakula. Sehemu za karantini zipo kwenye kila gatuzi, kits za kupima ni 20,000 kufikia sasa. Kwa taarifa yako agizo limepeanwa jana la kuzuia usafiri kutoka kwa gatuzi moja hadi lingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda Under Total Lockdown

President Yoweri Kaguta Museveni, while addressing the Coronavirus status on Monday night, ordered for a total lockdown in Uganda for the next 14days.

Museveni ordered for complete shutdown of operations by private cars, Tuk-tuk and boda bodas, saying that the directive was informed by indiscipline of Ugandans who didn't fully follow the guidelines laid out to stop the spread of Coronavirus.

Museveni said that the earlier ban on public transport had lead to private vehicle owners carrying passengers while pretending to be relatives and overcharging them for their own benefit. The ban on private vehicles should to start from Monday 10pm.

As from March 31, Museveni said there would be a curfew starting from 7pm, with the exeption of cargo vehicles, but clearly stated that that did not apply to boda bodas, bicycles and tricycles.

Museveni said that although food stores are to continue with their operations, they are required to meet some health requirements. He ordered that garages, saloons, lodges and other non-food shops to close immediately for a period of 14 days.

This comes after Rwanda and South Africa effected total lockdown, with other African countries weigh on whether or not to take that route. As at Monday night, the number of confirmed cases of Coronavirus stood at 33.

======

Katika kipindi kigumu ndio unaweza kupima umadhubuti na uimara wa viongozi.

Kuchukua maamuzi mazito na magumu kwa wakati husika ni sifa kuu ya uongozi bora.

Katika kuzuia maambukizi ya magonjwa ya mllipoka jambo muhimu linalotumika kufikiria ni wakati gani kuamua kuchukua hatua.

Rais Museveni ametangaza kuanza kwa amri ya watu kutotoka nje baada ya watu wenye virusi vya Corona kufikia 33, hii inaifanya Uganda kuwa nchi ya pili katika Afrika mashariki baada ya Rwanda ambayo ilitanga amri hiyo idadi ya wagonjwa ilipofikia 40.

Jambo la kushangaza na kusikitisha ni kwamba, Kenya pamoja na kufikia idadi ya wagonjwa 50 hadi sasa, hakuna hatua zozote za maana ilizochukua ili kukabiliana na ongezeko la maambukizi zaidi ya kutangaza kila siku kwamba idadi inaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Lockdown mnayolazimisha watu kukaa ndani njaa ikiwazidi wanatoka nje mnawapiga kama Mbwa Koko? Acheni ufala wa kuiga wakati uwezo wa kuweka watu ndani hata kwa siku 3 hamna.

Kenya wabajisifia kuwa na "National reserve" inayofikia $8B. Kazi kuu ya hiyo reserve ni kutumika kama "back up" endapo kutatokea mambo ya dharura kama haya, kwanini wasitumie japo nusu ya hiyo pesa katika hicho kipindi cha " total lockdown?.

Kama wanashindwa kwa nchi nzima, kwanini wasifanye kwa Nairobi, Mombasa na Kilifi ambako kuna wsgonjw Wengi?, kama China ilivyofanya kwa Wuhan pekee?. Wakenya hawana akili, uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana, watakuja kuchukua hizi hatua baadae sana, mambo yatakuwa yameshaharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo siyo watu kukaa ndani,tatizo ni kuwa wakikaa ndani ndani watakula nini,wataishi vipi,watafanya nini hali ya kuwa maisha ya aafrika ni kuhamka hasubuhi na kutafuta mahitaji yako ya siku,kabla ya kulaumu ni tufikirie sana je nchi zetu zimejipangaje katika maisha ya kawaida ya watu wake ?
Serikali zetu zikiweza kumudu kuyaendesha maisha ya kawaida ya watu wao,basi ziwafungie ndani .
 
LOL lijiparagraph lote hili wakati ulitakiwa kusema tu simply "msaada wa Jack Ma tumeanza kuutumia"
Mtandao ni wako au MB ni zako, ndio unipangie cha kuandika? Jack Ma alipeana kits 10,000 tu, ila najua nikikuambia unipe taarifa za Tz kuhusu kits na vitu kama hivyo utaanza kunitajia vipima joto. Alafu uanze kutupia zile pumba zako, ukisema kwamba eti mmewapima watu 1 million kufikia sasa.
 
America has over 140,000 cases and no lock down. You can not shutdown the whole economic engine of a country.After this the economy still needs to continue that is why World bank and CBK have projected a slower growth for kenya of around 3% - 4% in 2020 while the rest of african countries who are in a lockdown might stagnate and not record growth worth talking about eg. south africa has now been graded as junk on all financial ratings institutions and their economy is set to contract by 2% this year.

We have experience from our doctors who went to help in fighting ebola, also we have the best research facilities in the region. Kenya is also using this time to grow manufacturing of medical equipment, with General electric confirming set up of a manufacturing facility for ventilators and other companies already ramping up production of surgical and respiratory masks.Do not worry after this is over we will supply you all in the region with these equipment.
Also kenya has the highest number of ICU(Intensive care unit) and HDU(high dependency unit) beds in the region totalling slightly over 1000 beds. These are critical to help in the management of patients with severe symptoms.

Tanzania has only about 55 ICU beds bringing a ratio of 1.2 ICU beds per 1 million people and uganda has a ratio of 1 ICU bed per 1 million people. Problem is you people depend on government while kenya has a mixture of big private hospitals and big government hospitals(level 6+) and many level 5 private hospitals and about 40 level 5 county government hospitals
 
Mbona kenya wana amri ya kutotoka?
Au mimi ndo sielewi maanq ya lokudauni
 
Tatizo siyo watu kukaa ndani,tatizo ni kuwa wakikaa ndani ndani watakula nini,wataishi vipi,watafanya nini hali ya kuwa maisha ya aafrika ni kuhamka hasubuhi na kutafuta mahitaji yako ya siku,kabla ya kulaumu ni tufikirie sana je nchi zetu zimejipangaje katika maisha ya kawaida ya watu wake ?
Serikali zetu zikiweza kumudu kuyaendesha maisha ya kawaida ya watu wao,basi ziwafungie ndani .
Umeona anachokifanya Kagame?. Kenya ikiamua kutoa amri kwa miji hiyo mitatu yenye wagonjwa wengi, yaani Nairobi, Mombasa na Kilifi, kwakutumia hiyo nusu ya National reserve yao, yaani $4B, wanaweza kuwahudumia watu wote wanaoishi katika miji hiyo kwa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu kwa mwezi mmoja bila hata kumaliza $1B.

kumbuka, watapewa mahitaji ya kawaida sana, Unga wa sembe, Maharage, Mafuta. Chumvi na huduma za maji na matibabu, atakayetaka zaidi ya hapo atajinunulia mwenyewe, Rwanda wanaweza, vipi Kenya washindwe?, hawa ni failed state aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtandao ni wako au MB ni zako, ndio unipangie cha kuandika? Jack Ma alipeana kits 10,000 tu, ila najua nikikuambia unipe taarifa za Tz kuhusu kits na vitu kama hivyo utaanza kunitajia vipima joto. Alafu uanze kutupia zile pumba zako, ukisema kwamba eti mmewapima watu 1 million kufikia sasa.
Stop kelele mingii
Tanzania 19,
Kenya 50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom