Acha maneno nengi, ninyi mumezoea kusema sana lakini hakuna kinachoonekana " on the ground", mara sisi ni middle income economy, lakini ndiyo nchi ambayo bila kukopa hamuwezi kufanya mradi hata mmoja kwa pesa yenu.
Ninyi mlikua mnajisifia kuwa na " National reserve kubwa", vipi mnashindwa kusimamisha nchi kwa siku 14 na mtumie hiyo "reserve yenu?. Mnashindwa na nchi zenye uchumi mdogo kabisa ambazo siku zote mlikua mnazicheka na kuzikebehi, lakini chumi zao zinauwezo wa kuhimili misukosuko kama hii, ila ninyi maneno mengi lakini nchi ni hovyo kabisa.
Hatutaki mtuambie habari za kupunguza mishahara na blaah, blaah nyingi. Sisi tunachotaka kuona ni idadi ya maambukizi kupungua, sio kututangazia kila siku kama mnavyotangaza mpira.
How it stands:
Tanzania 19, nor death
Kenya 50, 2 deaths
Lazima leo idadi Kenya itapanda, bado mnakenua macho eti mnafurahia kutangaziwa kila siku. Failed state.
Sent using
Jamii Forums mobile app