Uganda yenye wagonjwa 33 yatangaza " lockdown" kwa siku 14, Kenya yenye wagonjwa 50 bado viongozi hawajui la kufanya

Ona ulivyo mjinga. "Sisi tunachotaka kuona ni idadi ya maambukizi kupungua"
Swali ni je: Kwenu zinapungua?
 
Adui mkubwa wa mtanzania siyo corona bali ni ujinga. Ujinga huu umejidhihirisha zaidi kipindi hiki cha covid19.
Adui wao mkubwa ilikuwa ni Ujamaa kwa vile iliwalemaza sana kimaendeleo ila iliathiri akili zao wakabaki wakiwa wajinga
 
Kwa hivyo unataka tufanye lockdown just because Uganda has done so? You think we are copycats like you?
 
Leave alone that. Ma donated these kits to all African countries, danganyika included. Even the superpower herself USA received these donations. Lakini kwa akili ya mdanganyika, Kenya is the only country that received the donations
 
Hii ni Economics ya Tandale au?😂😂...do you know the use of forex reserves.
Hawa ndio wasomi wa Tanzania 😂 😂 😂 😂 Joto la jiwes of this world. Mtu anaongea tu bora apigiwe makofi na vilaza wenzake
 
I asked you a very simple question: kwenu zinapungua? The answer should be yes or no
Hujua hatua za kupambana na maambukizi ya magonjwa

1)Kupunguza kasi ya maambukizi mapya
2)Kusimamisha kabisa maambukizi mapya
3)Kutibu na kuponyesha waliopata zamani

Tupo hatua ya kupunguza kasi ya maambukizi mapya, muda si mrefu Tanzania haitokuwa na maambukizi mapya.

Vipi huko kwenu leo, waziri hajawatangazieni idadi ya wagonjwa wapya?, hilo la kutangaza ndilo mnaloliweza, lakini kuzuia/ kupunguza kasi ya maambuki ni zero kabisa, hamna mnaloliweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
South Sudan, with zero infections so far, is also well prepared than all of us despite of their political turbulence and a shambolic government. This is laughable
 
Leave alone that. Ma donated these kits to all African countries, danganyika included. Even the superpower herself USA received these donations. Lakini kwa akili ya mdanganyika, Kenya is the only country that received the donations
Hakuna donation ya Jack Ma iliyokwenda USA, wacha kudanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You haven't answered my question yet. Je: kwenu maambukizi yanapungua? Or has it remained constant? If you can't answer these questions, then just keep quiet
 
Since Tanzania is the best prepared country in EastAfrica I would like to know if they have internal capacity to manufacturer Oxygen respirators or even N95 mask.
btw how many ICU beds are in Tanzania.?
They even have just a single laboratory which is used by both Tanzania mainland and Zanzibar. Then you still wonder what he's still doing here bashing Kenya while they have serious issues to deal with
 
They even have just a single laboratory which is used by both Tanzania mainland and Zanzibar. Then you still wonder what he's still doing here bashing Kenya while they have serious issues to deal with
Bado mnaendeleza upuuzi wenu wa kujisifia GDP wakati wakenya wanakufa njaa, stupid.

What we need is the effects to people. We are doing very well in controlling the spread compared to you, while you are boasting all those nonsense, number of infections is sky rocketing while ours is largely under control.

Tanzania 19
Kenya 50
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unakufa kifo cha maji. You are holding onto anything in the hope that it will stop from from drowning. Umebaki tu kutapatapa na kutoa povu. Where have I mentioned GDP?

I have only said that the whole of Tanzania has just a single laboratory which is not a lie. Kenya has more than that. We've also stated that we are in the process of starting to manufacture ventilators and protective gears here in Kenya, something that is still a pipe dream in your country. We also said that we have the highest number of ICU beds and HDUs than your country. This puts us at an advantage. Hizi si majigambo. We are just stating facts, facts that are a bitter pill for you to swallow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…