Hata Uganda pipeline yaliwakuta ya hivi hivi!haha! naona uko hapa kuchekeshana. anyway ni vipi progress ya sgr dar - moro ?
http://innov8tiv.com/rwanda-now-determined-build-side-standard-gauge-railway-seeing-kenyas-progress/
Naomba nikutaarifu, huu ni mtandao wa kijamii, hatupo humu kufurahishana ila kuambiana ukweli, naona hujanifahamu, mimi huwa naeleza kama ilivyo na bila kuremba.
Kiukweli nyie mna unafiki uliopitiliza, tena kimya kimya halafu mnapenda sana kuelekeza vidole vya lawama.
Nimekuambia mtasubiri sana, na hata Kenya ikiingia kwenye machafuko hamuwezi kutupita, hilo la nyie kusubiri mtupite mlianza tangu enzi zileee, lakini hadi leo mpo mpo tu.
Matumizi ya bandari ya Mombasa yameongezeka kwa asilimia 11% pamoja na kwamba tunapewa hadithi eti wateja wanahama
Barabara ya Port Reitz na ile ya uwanja wa ndege zinaendelea kupanuliwa.
Kandarasi ya 6 lanes Mombasa hadi Jomvu tayari imepokezwa.
Reli ya SGR sina hata haja ya kuitaja maana ni jitu linaloonekana.
Wao, umeongea vizuri kuwa unasema ukweli! Lakini nikashangaa hujasema ukwli hapo! Ndo unazidi kushangaza zaidi!
Au basi, kila mtu aseme hapa, maana hoja imeanzia mauaji ya kimbali ya Rwanda kuwa hatukufanya kitu! Hebu sema hapa ukweli, nchi yako ilifanya nini kwenye hayo mauaji? Maana ulivyo tuliyofanya Tanzania huwezi kusema, hiyo itakuwa kazi yangu kukwambia! Sema tu ukweli kama unavyojinasibu hapa!
Suala la kuipita Kenya wala hatusubiri eti muingie kwenye machafuko, wala hatuwaombei hilo! Lakini pia msije kuleta machafuko makusudi ili mkitoka huko mkakuta tumewazidi basi mlaumu machafuko! Tunataka tuwazidi huku mkiona hivi hivi!
Na mimi ngoja nikwambie, kuwazidi kiuchumi hatutegemei eti mizigo ya rwanda na Uganda! La hasha! Tulijua tulipokosea na tutatumia rasilimali zetu hizi hizi kuwazidi!
Hivyo malizeni uchaguzi salama tubaki kupambana kiuchumi huku mkiwa mnaona!
Najua kuhusu kuzidiwa ni kitu hutaki kusikia, lakini nakwambia, majibu yako hayana tofauti na majibu ya mtu aliyeunda meli ya Titanic, alivoulizwa ubora wa meli ile akasema haitaweza kuzama kamwe! Kilichotokea kila mtu anajua!
Sasa na ninyi Kenya mtakuwa kama Titanic, mkiamini hamtaachwa kufumba na kufumbua hamtaamini!
Unfortunately link uloweka hapa inazungumzia mambo ya 2013! Mambo mengi sana yamefanyika hapa katikati ya kuvutia wafanyabiashara, plus our good relationship with Rwanda and uganda ndo tunazidi kuwaleta wengi zaidi!
Pamoja na hayo, bado central corridor ndo inatumiwa na rwanda kusafirisha mafuta bila kujali umbali uliopo maana huku kuna huduma nzuri Central Corridor | Rwanda Petroleum import switches to Central Corridor
Pia baada ya kurekebisha mambo kadhaa pale bandarini, Rwanda wameupokea uamuzi huo kwa bashasha na taarifa zinaonesha kuwa bandari ya dar inatumiwa na Rwanda kwa 70% ya bidhaa zote zinazotegemea bahari zinazoingizwa Rwanda! Hivyo ninyi mnabaki na hiyo 30% tu!
Angalia hapa wanyarwanda walivyofurahia uamuzi wa kurekebisha huduma za dar port
Relief as Dar shipping lines waive container deposit fees
Well said AMUN RAMda wa kurudisha kilicho chetu ndo huu
Tehehehee. Leo asubuhi lazima ulikunywa supu ya Albino... Duuuh... Povu la Govi kweli.....sijui unaongea nin?Kenya haipo hata kwenye fastesr growing economy in africa achilia mbali in the world.
Katika watu wabaya na wanyama east africa ni nyie wakikuyu.Iko siku mtaingia anga zetu na tutawaharibu.
Well said AMUN RA
HahahahaIsis
Amun
Ra
Are these the kinds of gods u worship?
Just curios why u always mention them.
Wewe kama mt unafaidika nini na nchi hizo kutumia bandari ya kenya?Mtangoja sana..uchaguzi itaisha na Uganda, rwanda,drc,burundi wataendelea kutumia port ya Mombasa
na vipi kama ``uchaguzi haitaisha``?Mtangoja sana..uchaguzi itaisha na Uganda, rwanda,drc,burundi wataendelea kutumia port ya Mombasa
Museven came to inspect improvements on Tanzania’s main port so that it can be used as an option for Uganda’s exports and imports. Kama unafikiri geography inaweza ikasaidia kila kitu basi kaa chini
Museveni in Dar as Uganda eyes alternative routes to sea
You keep forgetting Museveni imports nothing.
Businessmen are the ones who choose which is the most cost effective route.
The only way for Ugandan businesspeople to shift to the more expensive Tanzania route en masse, is by either forcing them through legislation (not going to happen) or compensating them (not going to happen either).
Museven imports nothing but Ugandan businessmen do. That's y during his two days visit he was accomplished by most of them! So unafikiri walikuja kufanya nini? walikuja kuomba dar port kupunguza non tariff costs (ambazo tayari zimeondolewa as we speak) ili waendelee kutumia port hii kwa 100%
Saying eti wafanya biashara wa ug kutumia dar Port hadi wawe foeced, hizo ni ndoto za alinacha!
Unaweza soma kwa udani gazeti lenu hili liliandika nini kuhusu suala hilo.
High costs at Dar port keeping Ugandan traders at bay
Heeee! Unauliza wako wafanyabiashara wangapi ug? Unadhani wafanyabiashara wote wa UG wanaimport mizigo? Nikisema most of them namaanisha importers! Na waliwakilishwa vyema na mwenyekiti wao!Lol!
Presidents round up businessmen when they go abroad to look for opportunities all the time. It is also a way for the businesspeople to seek favours from the government of the day.
And saying that "he was accompanied by most of them".. Don't make me laugh. Kwani how many businesspeople does Uganda have?
And as I told you, unless during a time of political crisis, the Kenyan route will forever be cheaper for Ugandans. Lakini mkiweza mnaweza songesha Dar ikaribie Kampala.
There's no problem with you dreaming, but it will just remain that.
Ya Rwanda unataka uambiwe nini watu wanachinjana hadi milioni mkiwa mpo mpo tu hapo pembeni mnashangaa shangaa, tena Rwanda ni kama mkoa wenu hatat ukifuata kihistoria.
Habari za nyie kutupita tulianza kuzisikia miaka ya Nyerere, wakati huo toafuti zetu kiuchumi ilikua ndogo sana. Tukaja na nyie kama mpo nyuma yetu hatua chache, lakini hadi pale tulibadilisha uongozi dhalimu, ndio tuliwaaga kwaheri. Cha ajabu ni kwamba tuliingia kwenye machafuko na hata hamkutukaribia, tukachezea mabomu ya alshabaab bado mkiwa nyuma nyuma tu.
Leo hii tunapepea na kupaa, mlituahidi kwenye utawala wa Magufuli mtatupita ndani ya mwaka mmoja, leo hii tunaona mumeishia matamko na mikwara ya makinikia. Subiri muone tukinyakua soko lote hata la Tanzania Kaskazini na kanda ya ziwa, tayari ujenzi umeanza wa kuwapelekea SGR ya kisasa ambayo itaishia kwenye bandari ya Kisumu inayojengwa mpya na ya kisasa.
Sisi tunafanya kwa vitendo sio makelele, ni vitu vinayoonekana na kuhesabiwa.