Uganda's and Rwanda's companies are migrating to Tanzania

Uganda's and Rwanda's companies are migrating to Tanzania

Kaka usinikumbushe the issue of machetes. Ile mwaka 2007 niliona mkenya mmoja macheting the fellow like mgomba. Duuu hawa watu ni shida. Naona wanakuwa na grievances za muda mrefu, uchaguzi ndo sehemu ya kuzitoa. Wenyewe huita historical injustice.
Mara zote hawa jamaa hukalia kuti kavu, siku zote iko hivyo tu. Ukabila lazima tu uje uwatafune. Wafanye tu kamkakati ka inteligensia na wajaluo nao washike nchi hata kwa awamu moja tu, watachoka kupiga kura watasaka njia mbadala. Hawa bado si wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui hawa GEMA wana shida gani?? Eti wenyewe ndo wanajiona wenye Kenya. Hawawezi eti kuwapa ufalme au serikali wajaluo ambao hawajatailiwa. Wanasema eti Jaluo ni watoto kwa sababu ya tohara.
Hapo hujawataja wale MRC (Mombasa Republic Council)
Yaani vitu vya ajabu.
 
Utawala hupeanwi. Si favour. Kama uko na numbers, bahati yako.
Hio ndio maana ya demokrasia.
Lakini kama ni Gema kutotaka wajaluo washike utawala, sana sana naweza sema ni historia.
Wakikuyu (Gema) walipigania uhuru (Mau Mau) ilhali jamii zingine zilicollaborate au kutofanya lolote.
Kutoka siku ya madaraka, 1963, wakikuyu huona wao ndio kabila teule. Hadi leo, zile familia chache zilishika uongozi ndizo zinatawala serikalini na katika biashara.
 
Huo ndo udhaifu wenu, hamuwezi ku foresee. Lakini hili jambo litawapa shida sana, nadhani hata maadui zenu kama mnao, strategy yao ya kwanza kabisa ni kuwatumia hao mnaowatenga, sisemi Tz tuko salama sana, lakini tumejiitaidi kuzipunguza hizi dosari kiasi kwamba hata adhaniae ametengwa, atasulubishwa na nduguze kwa kusema uongo.

Demokrasia, ndo kitu gani hiki unachokiongea, mi huwa nakisikia tu lakini hata sikielewi. Ndo ile kanuni ya sauti ya wengi ni sauti ya Mungu? Haya hao wengi wanapimwaje? Je Marekani baba wa demokrasia Rais huchaguliwa kwa sauti ya wapiga kura walio wengi?

Ile kura yao "takatifu ya wateule wa mungu tu " ushaifatilia ujue mantiki ya kuwekwa kwake? Kwahiyo hata ndani hako mkaitako kademokrasia, kuna mbinu nje ya kanuni zake kulazimisha matokeo myapendayo. Fanyeni hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom