Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana.
Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali.
Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini.
Leo hii watu wanadhurumiwa na kuoenewa hovyo. Ndugu zao wanauliwa hovyo, wanabambikiwa kesi hoyvo. Ee Mungu tukumbuke mizimu ya zamani irudi na kutusaidia.