Shida imekuja baada ya ninyi/wao kujifanya wajuaji kwa kukimbilia dini za wageni ambazo zikaharamisha tamaduni zenu/zetu/zao na kuziita ushirikina na umizimu/uchawi/uganga,
Sas mmekimbilia kwa Miungu ya dini inayowataka muwasamehe hao waizi na wadhurumaji, uku ninyi mkiahidiwa uzima wa milele na wanawake70 uko jehanam kama sio pepon[emoji28][emoji28].
Rudini ktk asili yenu muone kama hayo maonevu yataendelea.
Mila zenu zinawarevange kwa kuzisariti, zinawaacha mjitafune wenyewe kwa kuuwana, kutapeliana, kuumizana, kutawaliwa, kuibiana, kuongozwa na viongozi useless, hiyo yote Nature imeruhusu sababu mumekataa Asili zenu/zetu za Uungu[emoji28][emoji28][emoji28].
Hakuna siku TZ/Afrika itakuja kuwa huru bila ya kuirudia Asili, hakuna na haitowai tokea hata akirudi huyo nabii issa/yesu wa uongo, hatoweza kutatua changamoto za Afrika, maana huyo si Mtetez wetu, sio Mungu wetu, si wa jamii yetu.
Afrika is for Africans &black only..