Huyo mtabiri wako ndiye aliyekuwa nae gest,anakuzuga tu.
true story
imetokea two weeks now, kuna Kabinti kalitoroka na lijamaa raia wa mtaani kakaenda gest mishale ya nne usiku, wenzie wakanokolea kwetu walimu, tulikuwa walimu wanne tukamsaka gest kama tano ambazo tulidhani wangeenda bila mafanikio. hadi kufika saa sita mambo yalikuwa hola, wakati tunaenda kulala tukiwa tumekata tamaa nkakumbuka nina jamaa angu anadai anauwezo mkubwa wa kujua mambo hasa yalojificha, pamoja na kunithibitishia kwa matukio kibao lakini i never trusted him before, nikaona siku ile nimuongeze mtihani mwingine, nka mtext kuwa tunamtafuta binti hatujui yupo gest gani,....kama unaweza pliz m-tress alipo, kwa bahati mbaya simu ilikuwa silence hivo hakuisikia text akaja iona asubuh saa 12, few minutes baada ya kuiona akanipigia na kunitajia gest walipo lakin akasema hamtawakuta washaondoka, akasikitika sana kwa kuchelewa kuiona sms jana usiku, tulipokuja mbana binti ataje alilala gest gani au geto alikiri kulala gest na alitaja gesti ile tulotajiwa na jamaa...wanajamvi bdo nashangaa how satellite sometimes waganga wanazo
Huyo mtabiri wako ndiye aliyekuwa nae gest,anakuzuga tu.
kweli kabisa.Huyo mtabiri wako ndiye aliyekuwa nae gest,anakuzuga tu.
Huyo mtabiri wako ndiye aliyekuwa nae gest,anakuzuga tu.
[/COLOR][/B]Duh! Kweli wewe bonge la mwalimu!unadhambi zote za uandishi ,sijui hao wanafunzi wako wapo katika hali gani !
Huyo jamaa yako ni fataki.
[/COLOR][/B]Duh! Kweli wewe bonge la mwalimu!unadhambi zote za uandishi ,sijui hao wanafunzi wako wapo katika hali gani !
Mkuu hebu soma vizuri maandishi yake huku ukizingatia yeye ni mwalimu halafu uitafakari hoja shutuma yangu,baada ya hapo uipitie upya hoja tetezi yako..Kiongozi , hapa ukifatilia minor errores kwa siku mbona utatupata wengi !
Obvious utakuta wala si real errores bali ni vile tunavyopenda kuyaandika maneno kama yatamkwavyo mitaani.
Ukitaka uandishi kama ule wa gazeti la serikali , au hansard za bunge, humu itakuwepo shughuli.
Kimaono yangu sijaona pakubwa kiviiiile kumkosoa mtoamada!
Nway vijimambo vidogovidogo sampuli hii ukivimezea ni vema zaidi , sikatai kwamba hakuna errores ktk uandishi wake, but ni style ametumia kufupisha baadhi ya maneno , ambayo still yanaeleweka. sidhani kama vinaharibu ladha.