Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

Kijuram

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
513
Reaction score
374
Nikiangalia msimamo wa ligi hii napata mkanganyiko namna gani wanagawa points.
Kwa mfano;
Club Brugge wameshinda mechi 3, draw 2, wamepoteza 3 wana alama 45, zinatoka wapi hizi?
Tusaidiane hapa tupate uelewa.
IMG_20180513_090745.jpg
 
Nikiangalia msimamo wa ligi hii napata mkanganyiko namna gani wanagawa points.
Kwa mfano;
Club Brugge wameshinda mechi 3, draw 2, wamepoteza 3 wana alama 45, zinatoka wapi hizi?
Tusaidiane hapa tupate uelewa.View attachment 775959
Points hizi ni zile ambazo timu zinakuwa zimekusanya kwenye ligi kabla ya kupangwa kwenye makundi ya play-off(championship , relagation, promotion, etc).
 
Points hizi ni zile ambazo timu zinakuwa zimekusanya kwenye ligi kabla ya kupangwa kwenye makundi ya play-off(championship , relagation, promotion, etc).
Ligi ya regular season ina time 16, ina kila timu inacheza mechi 30, timu 6 za juu zinaingia kwenye championship playoff league. Kwenye regular season Club Brugge walipata alama 67. Kuna uhusiano gani kati ya alama 45 za playoff league na 67 za regular. Bado sijaelewa, nilijaribu kugugo sijapata jibu.
 
Jibu nimelipata;
Timu zinaanza playoff season wakiwa na nusu ya points walizokusanya kwenye regular season. Ikitokea nusu ya point hazileti namba kamili wanachukua the nearest above, kwa mfano; timu ikimaliza na 67 points, nusu yake ni 33.5, timu hii inaanza playoff season ikiwa na 34points kibindoni kabla ya kucheza mechi hata moja.
 
Back
Top Bottom