Ugawaji wa Machungwa 20 kwa Watoto 20

Ugawaji wa Machungwa 20 kwa Watoto 20

SolarPower

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
223
Reaction score
27
Wakuu,

Juzi nilikuwa na machungwa 20 yakiwa ndani ya mfuko na niamua kuwagawia watoto 20 kila mmoja chungwa moja moja. Cha ajabu kila mmoja alipata chungwa moja lakini moja nikabaki kwenye mfuko ulokuwa na machungwa hayo. Je hii iliwezekanaje.
 
najaribu
labda na wewe ulikuwa kati ya hao watoto 20 so lililobaki ni la kwako otherwise yalikuwa 21....
 
najaribu
labda na wewe ulikuwa kati ya hao watoto 20 so lililobaki ni la kwako otherwise yalikuwa 21....

Hapana Mkuu dy/dx. Watoto walikuwa 20 na machungwa yalikuwa 20 tu.
 
Back
Top Bottom