S SolarPower JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 223 Reaction score 27 Sep 27, 2012 #1 Wakuu, Juzi nilikuwa na machungwa 20 yakiwa ndani ya mfuko na niamua kuwagawia watoto 20 kila mmoja chungwa moja moja. Cha ajabu kila mmoja alipata chungwa moja lakini moja nikabaki kwenye mfuko ulokuwa na machungwa hayo. Je hii iliwezekanaje.
Wakuu, Juzi nilikuwa na machungwa 20 yakiwa ndani ya mfuko na niamua kuwagawia watoto 20 kila mmoja chungwa moja moja. Cha ajabu kila mmoja alipata chungwa moja lakini moja nikabaki kwenye mfuko ulokuwa na machungwa hayo. Je hii iliwezekanaje.
D dy/dx JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 613 Reaction score 112 Sep 27, 2012 #2 najaribu labda na wewe ulikuwa kati ya hao watoto 20 so lililobaki ni la kwako otherwise yalikuwa 21....
najaribu labda na wewe ulikuwa kati ya hao watoto 20 so lililobaki ni la kwako otherwise yalikuwa 21....
S SolarPower JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 223 Reaction score 27 Oct 3, 2012 Thread starter #3 dy/dx said: najaribu labda na wewe ulikuwa kati ya hao watoto 20 so lililobaki ni la kwako otherwise yalikuwa 21.... Click to expand... Hapana Mkuu dy/dx. Watoto walikuwa 20 na machungwa yalikuwa 20 tu.
dy/dx said: najaribu labda na wewe ulikuwa kati ya hao watoto 20 so lililobaki ni la kwako otherwise yalikuwa 21.... Click to expand... Hapana Mkuu dy/dx. Watoto walikuwa 20 na machungwa yalikuwa 20 tu.