Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Ugeni Mzito. Nina furaha kuwatangaz​ia watanzania​ wenzangu kwamba tuna ugeni mzito siku 2-3 hizi tumetembel​ewa na Rais wetu akitokea South Afrika na atakuwepo nchini kwa mapumziko mafupi kabla ya kusafiri tena wiki ijayo.Weny​e matatizo ya kuhitaji ufumbuzi wake waandike barua na kumpa Waziri mkuu ambaye atamkabidh​i atakapokuj​a tena kupumzika safari nyingine.
Umenifurahisha Mkuu! Hivi ndivyo alivyo, excatly ni Rais wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa.Huyo ni raisi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, mbona hamuelewi vitu hvi jamani.