Ugeni Tanzania kutoka Ujerumani

Ugeni Tanzania kutoka Ujerumani

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
Watalii 64 kutoka Ujerumani na Netheland wamewasili jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ya ROVOS.

Watalii hao wapo kwenye ziara ya kitalii wakilenga kutembelea mbuga za wanyama na visiwa vya Zanzibar.

Kwa mujibu wa meneja mkuu wa TAZARA upande wa Tanzania, Fuad Abdallah watalii mbalimbali huja nchini mara tano kwa mwaka kwa kutumia ROVOS kupitia reli ya TAZARA.
FB_IMG_1535812007100.jpg
FB_IMG_1535812000289.jpg
FB_IMG_1535811995400.jpg
FB_IMG_1535811990713.jpg
FB_IMG_1535812011146.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watalii 64 kutoka Ujerumani na Netheland wamewasili jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ya ROVOS.

Watalii hao wapo kwenye ziara ya kitalii wakilenga kutembelea mbuga za wanyama na visiwa vya Zanzibar.

Kwa mujibu wa meneja mkuu wa TAZARA upande wa Tanzania, Fuad Abdallah watalii mbalimbali huja nchini mara tano kwa mwaka kwa kutumia ROVOS kupitia reli ya TAZARA.View attachment 853663View attachment 853664View attachment 853665View attachment 853666View attachment 853668

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua gharama za kupanda hiyo treni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii stori sio ya mwaka jana au juzi kweli? Au wamekuja tena?
 
Watalii 64 kutoka Ujerumani na Netheland wamewasili jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ya ROVOS.

Watalii hao wapo kwenye ziara ya kitalii wakilenga kutembelea mbuga za wanyama na visiwa vya Zanzibar.

Kwa mujibu wa meneja mkuu wa TAZARA upande wa Tanzania, Fuad Abdallah watalii mbalimbali huja nchini mara tano kwa mwaka kwa kutumia ROVOS kupitia reli ya TAZARA.View attachment 853663View attachment 853664View attachment 853665View attachment 853666View attachment 853668

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
Ni sawa na SGR ya jirani.
 
Back
Top Bottom