Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Watalii 64 kutoka Ujerumani na Netheland wamewasili jijini Dar es Salaam leo kupitia reli ya TAZARA wakitokea nchini Afrika Kusini kwa kutumia treni maarufu ya kitalii ya ROVOS.
Watalii hao wapo kwenye ziara ya kitalii wakilenga kutembelea mbuga za wanyama na visiwa vya Zanzibar.
Kwa mujibu wa meneja mkuu wa TAZARA upande wa Tanzania, Fuad Abdallah watalii mbalimbali huja nchini mara tano kwa mwaka kwa kutumia ROVOS kupitia reli ya TAZARA.
Sent using Jamii Forums mobile app