Ugeni 'Umedoda' kwani haujawashtua wengi kwakuwa wenye kuujua mpira walitarajia lililotokea

Kuna Timu itegemee Msimu ujao ukianza tu Wachezaji wake wengi Kuugua kwakuwa Watarogana sana kwa Kukufuru.
Acha kujifariji ndugu yangu.
Mimi ni mwanaSimba, lakini ukweli unabakia pale pale, jana Utopolo wametupiga counter attack nzito asubuhi asubuhi, Chama ameacha simanji ya ajabu kwa wanasimba na ameamsha vibe ya ajabu kule jangwani mpaka muda huu.
 
Kaacha Simanzi kwa Hopeless na wasiojua Mpira. Binafsi yaani Nimefurahi mno kwani Yeye ndiyo alikuwa akituumiza.
 
Acha kujifariji ndugu yangu.
Mimi ni mwanaSimba, lakini ukweli unabakia pale pale, jana Utopolo wametupiga counter attack nzito asubuhi asubuhi, Chama ameacha simanji ya ajabu kwa wanasimba na ameamsha vibe ya ajabu kule jangwani mpaka muda huu.
Ameondoka Kaseja,
Akaondoka OKWI
Akaondoka CHUJI
Akaondoka AJIBU
Akaondoka Morrison
Ije kuwa Chama ambaye jioni yake imeshafika?
Simba ingekuwa inamhitaji tungerudia filamu ya VICTOR COSTA
 
Peter Msechu hajatoa bado nyimbo..........watu wanakufa na tai shingoni
 
Unawaza uchawi tu sio?Mpira sio uchawi wala kulogana wewe mshamba.
 
Acha kujifariji ndugu yangu.
Mimi ni mwanaSimba, lakini ukweli unabakia pale pale, jana Utopolo wametupiga counter attack nzito asubuhi asubuhi, Chama ameacha simanji ya ajabu kwa wanasimba na ameamsha vibe ya ajabu kule jangwani mpaka muda huu.
Kwa sasa GSM wanataka kumsajili Mwamedi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…