Ugeni wenye Faida

Ugeni wenye Faida

HUKU ABROAD

Senior Member
Joined
Nov 20, 2020
Posts
127
Reaction score
218
Naitwa best , nipo Dar ni

ni mgeni kwenye jamii forum
na fursa nazozitoa kushirikisha vijana mawzo wenzangu kwenye jarida langu liitwalo online magazine tanzania

Dhumini la jarida Hilo ni kumsikikiza mawazo tofauti tofauti ya vijana wenye vipaji hili kuhamasisha jamii juu ya malezo ya watoto kukua katika vipaji vyao ..


Nawakaribisha woote wanaopenda Sanaa kuona watu na vijana tofauti waliobarikiwa vipaji na kusikia sauti zao ..

Kuona jarida hii
Follow @onlinemagazine_tz Instagram



Instagram natumia
@bestculture21
Pia katika Instagram person account
Napost content za kufundisha kwa wale woote content creator ..

Asanteni
 
Back
Top Bottom