Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ushawahi kujiuliza nchi ughaibuni kuna vituko vingi vya majini kuliko mikasa ya hapa. Na rafiki yangu ni mganga ambaye hupata safari nyingi nchi za kiarabu kwa ajili ya kwenda kupambana nayo.
Unaambiwa alifika Oman ile nyumba walikuwa wana naswa vibao sana na hawafahamu ni nani na kila mtaalamu aliyekuja pale walishindwa ila wanasema wanaoweza kushindana nayo ni sisi huku kutoka Afrika.
USA nyumba zilizoachwa aka mapagara au nyumba unakuta watu hawakai usijaribu kujiendea ukaishi humo bila kuuliza wenyeji utaona mauza uza CCM inasubiri.
Majengo mengi yametelekezwa kuogopa mauza uza. Mbona Tanzania hukuti haya na kama yapo basi asilimia ndogo.